Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mna uhakika hii ni EA kweli? Kwakweli Magu alale pema peponi amen
tapatalk_-1873325894_621x346.jpg
 
Mambo makubwa yanakuja kwenye italii. Ndege za Ethiopia kutangaza utalii wetu
IMG-20230219-WA0002.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Kundi la Mashirika ya Ndege ya Ethiopia Girma Wake kabla ya mazungumzo yao Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 19 Februari, 2023.
 
I walked 21.81 Kms yesterday through Bagamoyo road, Sam Nujoma, Morogoro Raod and Kawawa Road .
These roads are pedestrian and Cyclists friendly 100% ( International standard)

View attachment 2522874
Hii bagamoyo road ni noma sana mkuu, hivi Wakenya wanaijua Dar kweli? Na kama wanaijua mbona wanaifananisha na vitu vya kijinga sana.
 
Back
Top Bottom