Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

FpUZySoaIAEDr8x
 
Mkenya anaeza ishi hata kwenye go down yani maisha ya mkenya hayana thamani kabisa, ikiwa anaeza ishi maisha ambayo nguruwe hawez ishi kweli atashindwa kuishi kwenye godown [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijawahi kuona wachawi, ila stories zote ninazosoma kuwahusu ni kwamba huwa hawapendi mwanga, ni wachafu na wanachuki mbaya sana, na ukiwafanyia jema ndio umewapa sababu ya kukuroga. Kwahiyo usishangae kwanini hakuna madirisha kwenye jengo[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu umetunyima picha ya ile DMDP Park, si kuna hawa jamaa wanasema kila siku eti Dar hakuna Parks wakati wao mji mzima wanaenda kukaa sehemu moja.

Ntapiga Picha Boss, ipo eneo zuri sana la kimakakati [emoji23]

Yaani watu wakitoka Kanisani kabla wanajishauri jinsi ya kuondoka watakaa pale, Pia watu wanaosubiria kuingia Hospital wanaweza kaa pale. Ipo karibu na Kituo Cha BRT na kuna miti mingi kivuli cha kutosha, watoto wanaweza ku skate ( Roller skating) na mtu anaweza perfom na watu wakaangalia .Pia kuna choo cha Public kikubwa .
 
Back
Top Bottom