Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sina muda wa kujibizana na watu wapumbavu. Wewe hapa JF unajiona umejifiicha. Huku IP adress yako TCRA wanaijua imeunganishwa na vifaa vyako vya mawasiliano.

Stupidy boy.
Wewe ndio mpumbavu unaefuatilia maisha ya watu.

Nijifiche Kwa lipi labda? Yaani nijifiche napoogopa nini labda? Wewe popoma au? Mimi situmwi ka wewe Ili niende chooni.
 
The only double stacked SGR in Africa
FmLgySEXwAA3b29
You have the old diesel double stack(double decker bus), we have the modern electric long single stack(bendy bus).
Double decker bus refer London buses
Bendy bus refer BRT buses in Dar
 
Tukisema Kenya ni failed state mnadhani ni utani, polisi wamewakimbia hawa watoto na kutelekeza gari

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Sasa DRC wanafanya nini? 😂😂😂😂 Jeshi la shoplifters
 
Kipya ni nafuu maana unapata kitu kipya kabisa,bln 7 kwa service tu na ikiwa kipya kwa mfano ni b 12 ni bora kichukua kipya,na kiuhalisia b 7 kwa service kuna upigaji wa kutisha hapo
Songoro wamenyimwa kazi kwa sababu ya bei kua kubwa kuliko hao majirani,iyo hela kwenda nje ni uzembe mkubwa sana umefanyika hapo...au labda kuna masilahi ya watu katikati

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom