Reli ya 25 tons per axle double stack labda ibebe containers tupuOnly double stacked SGR in Africa iko Kenya. Dangagiza mnacheza ligi ta east Africa bado




Reli ya 25 tons per axle double stack labda ibebe containers tupuOnly double stacked SGR in Africa iko Kenya. Dangagiza mnacheza ligi ta east Africa bado




Umeambiwa uweke ushahidi kuwa it is the only double stack sgr in Africa wewe unaleta picha ya double stack.
Na bado tume order car carrier wagons wao sijui kama wanayo huko kwao.All of these are empty, subiri uone SGR ya kiume inakuja View attachment 2521029
Waitoe wapi?Na bado tume order car carrier wagons wao sijui kama wanayo huko kwao.
Double stack yao ni for empties tu 😂😂😂 anavyojitapa utasema yana mzigo ndani 😂😂Reli ya 25 tons per axle double stack labda ibebe containers tupu![]()
Sgr na Mgr zote zipo maeneo tofauti. Mgr ipo chini ha hili daraja, Sgr ipo baada ya water front na makao makuu ya dawasa.Hapa mahala patawafaa sana akina NDINDA kwa view kali. Alafu nimeona hapo chini wameishang’oa reli ya MGR kupisha SGR ya Bandarini, patanoga sana.
Hapana, ile karibu na Waterfront ni MGR ambayo inaunganikia Kamata, ndio alternative ya hii waliong’oa hapa. Hapa chini ya daraja inajengwa SGR kutokea Ilala.Sgr na Mgr zote zipo maeneo tofauti. Mgr ipo chini ha hili daraja, Sgr ipo baada ya water front na makao makuu ya dawasa.
Basi nilikuwa nawaza opposite. Ndio hio nimeona mizigo ya azam ikipitaHapana, ile karibu na Waterfront ni MGR ambayo inaunganikia Kamata, ndio alternative ya hii waliong’oa hapa. Hapa chini ya daraja inajengwa SGR kutokea Ilala.
Hapa hii kitu ikikamilika na Mv Mwanza na Mwanza pia kuna uwezekano wa cruise ship tourism kufanyika yaani a link kati ya northern circuit and Murchison waterfalls na other tourism attractions yaani btn Kampala and Mwanza maana sijui kama Kisumu wana hoteli za hadhi ya 5 star!View attachment 2520986
The Rock City
Ubaya nn hivi mnajua what it takes kufanya kazi KPMG?
Tukisema Kenya ni failed state mnadhani ni utani, polisi wamewakimbia hawa watoto na kutelekeza gari
Hilo ndio lilishindikana kabisa, hiyo ni Kama ngozi ya mwiliwajitenge na Ukunyaland!
Moi aliwapa Kalashnikovs wajilinde na kuvamiwa na wakulungwa wa Ethiopia na Uganda, saahii hawashikiki wamekuwa malicious militias cum bandits cum cattle rustlers terrorizing own Republic! Ni kama sisi tuamue leo hii kuwapa jamaa wa mpakani smgs wajilinde na jamaa wa Msumbiji!Hilo ndio lilishindikana kabisa, hiyo ni Kama ngozi ya mwili
Jukumu la kwanza la msingi la serikali yoyote duniani ni kulinda raia wake na Mali zao, serikali ikishindwa kutimiza jukumu hilo la msingi inakua ni "failed state", Haina tena uhalali wa kikatiba na kijamii kuwa madaraki. Kenya imewekwa katika kundi la "failed states" hasa kwasababu hiyo ya kushindwa kuwalinda raia wake, hawajaonewa kabisa.Moi aliwapa Kalashnikovs wajilinde na kuvamiwa na wakulungwa wa Ethiopia na Uganda, saahii hawashikiki wamekuwa malicious militias cum bandits cum cattle rustlers terrorizing own Republic! Ni kama sisi tuamue leo hii kuwapa jamaa wa mpakani smgs wajilinde na jamaa wa Msumbiji!
Unatia huruma.jifunze kutumia akili
Wakulungwa wana Kalashnikov hawajui wazifanyie nn! soon wata-match Nairobi! We call it guns in unsafe/wrong hands! halafu huuziana silaha na Al-Shabaab jihadist!Jukumu la kwanza la msingi la serikali yoyote duniani ni kulinda raia wake na Mali zao, serikali ikishindwa kutimiza jukumu hilo la msingi inakua ni "failed state", Haina tena uhalali wa kikatiba na kijamaa kuwa madaraki. Kenya imewekwa katika kundi la "failed states" hasa kwasababu hiyo ya kushindwa kuwalinda raia wake, hawajaonewa kabisa.

Tanzania's beauty ni story kubwa DunianiHilo eneo, junction ya magomeni nadhan ndo junction yenye makanisa mengi.. ukitoka juction kama unaenda fire, mita 50 hiv kutoka junction kuna kanisa la Lutheran. Kama unaenda boma, mita 150 hiv kutoka junction kuna kanisa la TAG, mbele kidogo ya TAG kuna kanisa la AICT, kama unarud kutokea Ubungo mita kama 150 nako kuna makanisa matatu upande huohuo (7th Day Adventist Church, Anglican Church na Baptist Church), mwisho kama unaenda morocco, mita 200 hiv kutoka junction nako kuna kanisa la Roman Catholic Church. Hilo eneo limebarikiwa kuna na makanisa mengi sehem mojaPersonal Observation while walking today.
Magomeni becoming an important self sufficient area.
They have a new DMDP Park, Four BRT Bus stops servicing same area from each road( Kawawa x2 morogoro road x2) They have a new Market, A Big Church, Big Mosque , Hospital, New Administration Building , Banks, New Hotel.
Definitely decongesting the City, No one will go to Kariakoo or posta and leave everything available here .
View attachment 2521391
View attachment 2521392
Adminstration Building
View attachment 2521394
View attachment 2521395
Church and Mosque opposite
View attachment 2521396
The Market
View attachment 2521398