Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama panya road tu
Panya road wamewahi kumuua ocd au ocss wa kituo cha Polisi hapa Tanzania?

Nyinyi askari wenyu wa GSU na wa misitu walitekwa na majambazi wakavuliwa nguo kisha wakatwangwa risasi.

Wanajitapa kwamba wataikomesha serikali na hamtafanya kitu, kweli mkaufyata
 
Chuga

View attachment 2520853
20230217_221151.jpg
 
Huo ushindani ndio hawataki kuusikia kabisaa!
Ushindani unakuwa kwenye distribution tuu huku kwingine kwenye critical infrastructure waachiwe Tanesco. Ushindani ukiwepo gharama za kwh zitakuwa nafuu kidogo na pia kutakuwa hakuna gharama ya moja kwa moja kumuunganishia mtu umeme hao competitors wata foot the bill na kukukata kidogo kidogo hivyo kufanya uptake ya umeme iongezeke kwa kasi.
 
Yaani iwe kama vile REA wanavyofanya lakini ziwe ni Kampuni zinazojitegemea na kujisimamia?
 
Back
Top Bottom