Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya katika ubora wao
FpKGHSnWcAUdhor.jpg
 
Hawa jamaa (aikina kikwete) nawaogopa sana kwa ufisadi lakin kiukweli wapo vizur sana kwenye kutafuta foreign investments, mimi nikiwa kama mtanzania mzalendo njaa yangu ni kuona taifa letu linapiga hatua kubwa kubwa kwa njia yoyote ile.. kazi nzuri
Nimecheka

JK anakuwa kwenye taasisi kubwa 5 sasa
 
Back
Top Bottom