Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimesema 1800s = 1800 - 1809
Mwenzako amesema 1800s = 18th century (something I'm sure hata wewe ulikuwa unajua hivo). Kati yetu wawili nani ako wrong?
Unachanganya madesa mtoto wangu.
Kuna
1800s hii inaisha lini?
1810s hii inaisha lini?
1820s Hii inaisha lini?
1830s Hii inaisha lini?

Mwanagu ukirudi shuleni siyo dhambi.
 
Hilo halina uhusiano wote na maendeleo/ ahadi za serikali, kwahiyo linaweza kuvumilika.

1)Laptop per child
2) Five modern stadia
3)Mradi wa Galana Kulalu
4)Trains za kisasa
5)Five water dams
6)Green field terminal
7)SGR to Malabar

Hahahah , nchi ya hovyo sana ..
 
Unachanganya madesa mtoto wangu.
Kuna
1800s hii inaisha lini?
1810s hii inaisha lini?
1820s Hii inaisha lini?
1830s Hii inaisha lini?

Mwanagu ukirudi shuleni siyo dhambi.
Nawapa somo jinsi haya mambo yanavyohesabiwa leo. Naona bado mlikuwa nyuma sana. Wengi wenu mlidhani 18th century ni miaka ya 1800 - 1899, naona mmebadilisha fikra. Hilo swali unalouliza nilishaalijibu.

1800s = 1800 - 1809
1810s - 1810 - 1819
1820s = 1820 - 1829 and so on.

Nadhani umeelimika wee mkosa elimu.
 
Nimesema 1800s = 1800 - 1809
Mwenzako amesema 1800s = 18th century (something I'm sure hata wewe ulikuwa unajua hivo). Kati yetu wawili nani ako wrong?
Wacha ujinga wewe, Nimesema 18 Century, tofautisha kati ya 18th Century na 18 Century, hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Nawapa somo jinsi haya mambo yanavyohesabiwa leo. Naona bado mlikuwa nyuma sana. Wengi wenu mlidhani 18th century ni miaka ya 1800 - 1899, naona mmebadilisha fikra. Hilo swali unalouliza nilishaalijibu.

1800s = 1800 - 1809
1810s - 1810 - 1819
1820s = 1820 - 1829 and so on.

Nadhani umeelimika wee mkosa elimu.
Yaani mkenya ampe somo Mtanzania. Hii itakuwa mpya hapa duniani. Somo gani unaweza kutupatia wewe mtoto wa mama ngina!!!

Mwanangu unajiongelesha wewe tu. Bure kabisa
Lazima ujue kutofautisha
1. decade
2. century
3. era

Tunapoongelea matukio let say 1800s tunaongelea era mwanangu.
Haya ni matukio yote yaliyofanyika kuanzia mwaka 1800 hadi 1899.
Mf:
1. The victorian era
2. Age of Reform

Kuna Early 1800s ndiyo unayoiongelea wewe mtoto wangu.
na kuna the late 1880s usually means somewhere around 1887-1889

Niendelee kukupatia somo?
 
Wacha ujinga, umeshindwa kwenye 1800s, unajaribu kupoteza lengo. Wewe ulikataa 1800s haifiki 1825, kwamba ulisema inaishia 1809, baada ya kukuthibitishia, Sasa unageuza kibao, huna akili wewe.
Mwanzo kubali kwamba hujui. Ukifunzwa kubali. Eti 1800s ni 18th century kisa inaanza na 18. 🤣 🤣 🤣

................and yes, if you say 1800s to an intellectual, he knows you're talking about the period between 1800 - 1809. If you want to talk about the entire century you say 19th century. Using 1800s for the entire century is obsolete. If you had gone to the University you'd understand that.
 
Yaani mkenya ampe somo Mtanzania. Hii itakuwa mpya hapa duniani. Somo gani unaweza kutupatia wewe mtoto wa mama ngina!!!

Mwanangu unajiongelesha wewe tu. Bure kabisa
Lazima ujue kutofautisha
1. decade
2. century
3. era

Tunapoongelea matukio let say 1800s tunaongelea era mwanangu.
Haya ni matukio yote yaliyofanyika kuanzia mwaka 1800 hadi 1899.
Mf:
1. The victorian era
2. Age of Reform

Kuna Early 1800s ndiyo unayoiongelea wewe mtoto wangu.
na kuna the late 1880s usually means somewhere around 1887-1889

Niendelee kukupatia somo?
You're trying too hard to sound like an intellect but end up making a fool of yourself with your cringy name-dropping. 🚮 🚮
 
Wote mko sahihi.
1800s can be 1800-1809(decade) au 1800-1899(century) 19th century
Huyo hayuko sahihi, yeye alikua hajui kwamba 1800s maana yake inakwenda Hadi 1899, yaani inamaliza 18Century. Yeye alidhani kwamba hiyo "s" inawakilisha mafungu ya kumi.

Yeye alizoea "Teens", kwa mfano 10s. 20s, 30s,. 40s

Leo amejifunza kwamba kumbe 1800s inawakilisha "Century yote.

Kosa lingine analolifanya pamoja na huyo mkenya mwenzake ni kwamba, anachanganya kati ya " 18 Century na 18th Century, anadhani ni kitu kimoja
 
Nawapa somo jinsi haya mambo yanavyohesabiwa leo. Naona bado mlikuwa nyuma sana. Wengi wenu mlidhani 18th century ni miaka ya 1800 - 1899, naona mmebadilisha fikra. Hilo swali unalouliza nilishaalijibu.

1800s = 1800 - 1809
1810s - 1810 - 1819
1820s = 1820 - 1829 and so on.

Nadhani umeelimika wee mkosa elimu.
Naendelea kukupatia somo mdogo wangu

List of 1800's Major USA History Events

  1. America Purchase of Louisiana (1804)
  2. Texas Joins The Union (1845)
  3. American Civil War (1861-1865)
  4. The Indian Wars (ran for over 200 years ending in 1890)
  5. Statehood, the creation of most of the States that exist today (28 States Created)
  6. American Old West Settled
  7. The Indian Wars (ran for over 200 years ending in 1890)
 
Wewe sasa nawe unasema nini? 😂😂
 
Back
Top Bottom