Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,082
- 17,802
Utakuaje na tatizo la umeme wakati demand ipo chini?Hahaha, sisi ambao hatuna tatizo kubwa la ukame Kama huko kwenu, lakini tunawaongoza zaidi ya mara 3 katika "Irrigation schemes", Hiyo inakuonyesha ni jinsi gani mlivyo wazembe wakubwa