Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Were we not comparing Kibera roads with those found in your uswazi hovels? Hiyo barabara uliyoleta ipo uswazini kule Tandale, Mabibo, Mazense, Gongo la mboto ama Buguruni?
Hehehehe ndio maana nikakwambia acha utaumia, wewe baki na roads za kwenye makaratasi lkn ukija ground kuhusu km of paved roads sio size yenu kabisa, tuko mbali mnooo.
PLOT-INAYOGUSA-LAMI-INAUZWA-MBWENI-TANZANIA-REAL-ESTATE--KdYnKKFRh5FoM.jpg
House-for-sale-Kupatana-fCVtJyw-NT0JAM.jpg
Driving-from-Chanika-to-Gongo-la-Mboto-Dar-es-Salaam-City-Tour-aKlpdKe5bxrIfM.jpg
 
Imefika muda kuna majengo yapo pale CBD ni mazuri lkn rangi imechakaa basi waamrishwe kupaka rangi au wavunje hayo majengo yanaharibu picha nzuri ya CBD yetu safi.
Tatizo ukungu, hewa ya hapo ina huo mmea, ukipaka rangi leo, kesho unaota. Sjui kwa nini NHC huwa hawaweki dawa yakuzuia ukungu kwenye rangi. Mbona St Joseph huwa rangi zinakaa muda mrefu bila kuharibika?
 
Wakenya hawana akili mkuu, wanakwambia expressway imepitisha gari ishirini kwa siku lkn hawajiulizi mbn zinapita gari tano tu zile zile, wanashangilia hawajui kwamba ni gari hizo hizo ila frequency inasoma 20. Hawajiulizi mbn road ni nyeupe na mamia ya gari zinapita chini, hilo hawataki kujiuliza, wanachotaka wao ni kwenda kwenye forum na kushindana na Watz tu.
Hawa jamaa wako na matatizo ya akili, sio bure
 
Back
Top Bottom