ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Usiseme taarifa haikwenda huwez jua ni technology gani imetumika na china alicholalamika kwann marekani akija kufanya upelelezi wake kwenye anga ya kimataifa china hafanywi kitu kwann marekani anatungua baloon kwenye anga ya kimataifa na china kamjibu marekani kua chochote cha marekani kitakachoonekana juu ya anga ya kimataifa upande wa china atakiripua hii inaonesha china alikua anatafuta sababu tu 😆😆Imeshadunguliwa kitambo hiyo ballon kwenye ufukwe wa Corolina.
Haikupigwa mapema kwasababu walitaka isiwe maeneo ya watu ili isilete madhara, pia hawakujua imebeba nini.
Baada ya kufika baharini ndipo ikapigwa bomu, muda wote ilikuwa ikisindikizwa na ndege za kivita. Lakini NASA walizima mawasiliano yote ambayo ilikuwa imekusanya ili itume Uchina.
Kwahiyo taarifa iliyokuwa imekusanya haikwenda ndio maana China analalamika ballon yake kupigwa..
Balloon ya pili iko South America na siyo ndani ya US maana imezunguka kwenye angala la Venezuela na nchi jirani halafu ikaondoka.
Hii vita ni mbaya sana kwa marekani ndio maana anajishuku sana juu ya techhology za wengine na baloon haikua moja kuna nyingine ilitokea upande wa mexico
China kwa sasa ni tishio kwa ulimwengu kwenye kila kitu