Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji116][emoji116]


I like how Kenyans are responding to this useless video.

Screenshot 2023-02-06 200412.jpg
Screenshot 2023-02-06 200412.jpg
Screenshot 2023-02-06 200412.jpg
Screenshot 2023-02-06 200412.jpg
Screenshot 2023-02-06 200412.jpg
 
Road moja kuwa busy haimaanishi wingi wa gari za hiyo nchi inategemea na umuhimu wa hiyo road na kukosekana njia nyingine mbadala, sisi tuna road nyingi tofauti tofauti za kuingia na kutoka na zote zipo busy.
So argument yako ni kwamba Nairobi haina barabara busy za kuingia na kutoka mjini Ama what's exactly your point? 😂
What's Dar's second busiest road na inabeba magari ngapi kwa siku?
 
Kua negative ni sign ya nn?kwamba Dar inafanana na Narok na umeungana nae?Ndio maana hata mmefanya nn kizuri wabongo hawataki kusema watatafuta slums zenu wapost...chokochoko hua mnazianza wenyewe

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
1. Kulikuwa na haja ya mwenye video kutaja Wakenya?
2. Angalia comment za Wabongo kwa hiyo video, umeona zikiwa positive? You get the energy you give.
 
Akili yako ni ndogo sana,jeshi la Tz lilishawahi kufanya mission na likafanikiwa,
Waliopo ni wale walio chini ya UN pekee tena wamechanganyika kutoka nchi tofauti tofauti
Stop looking for flimsy excuses. KDF are also in DRC under East African Community Regional Force and so far have made a lot of progress in restoring peace in eastern DRC than your army achieved under UN
 
Mombasa Road ndio hiyo hiyo Thika Road 😂😂😂

One road cut across Nairobi with different names from each direction 🤣

View attachment 2507918
Bongolala mbona mnapenda ubishi za kijinga hivi? Hebu tueleze ni wapi Thika road na Mombasa road hukutana na kuwa barabara moja? Mombasa road iko eastern side of Nairobi wakati Thika road iko northern part of it.
 
Hauna hoja kwakua hauna facts za backup claims zako zaidi ya kutaka kuhamasisha watu wakubaliane na unachoamini.

Uhalisia hauendeshwi kwa imani.

Nairobi kwa idadi ya watu haizidi Dar es salaam. Nairobi in population ya watu 4M kati yao 75% wanaishi kwenye madebe Kibera, Mathare. Watu 8 out of 10 ya 4M wanalala na njaa ama kula bila kushiba kila siku.

Idadi ya umiliki wa vyombo vya electronic ni chache sana, achia mbali magari. Mtu anaye lala na njaa na kuishi na mbuzi bandani hela ya gari anatoa wapi?

Wasouth Africa wanaumiliki mkubwa wa magari lakini 98% ni magari ya mikopo.
Mitanzania are all cut from the same piece of cloth. People who think they know yet they know nothing, if any.

Naona unashuku elimu ya mwenzako na kusema kwamba yeye anakariri mawazo yake wala hatumii facts. Sasa niko na swali kwako wewe uliyesoma na kutumia facts. How is it possible for 2.5 million people to fit in a small area like Kibera measuring a paltry 2.5 square kilometers? That's a population density of 1 million people per square kilometer. Hebu tumia hiyo 'elimu' yako utuambie how factual this one is now that wewe ndio msomi kuliko kabla ya kunyoshea wengine mkono wote hapa ndani
 
Maumivu gani kwa cosmetic change? Hiyo terminal ni medieval sana hata ukitembea humo ndani inabidi uinamishe kichwa kidogo ceiling ina hang very low na viduka viko uchochoroni utasema uko pipeline.

Jengeni a modern terminal inayoendana na mazingira ya sasa as this one is beyond use.
 
Acha uongo hiyo A7 umeitoa wapi? Dar kuna Morogoro road T1 ambayo ni 10 -16 lanes, Bagamoyo road 6 -8 lanes, Mandela road 6 lanes, Kilwa road 6 lanes.

Hizi barabara zote zinatoka city centre moja kwa moja kwenda nje ya Dar to mikoa mingine.
Si ulisema Nairobi iko na barabara moja au sio wewe tena? After umepewa za uso umeanza kututajia barabara zinazotaka Dar city center kwenda nje ya Dar na mikoani. Sasa sisi pia Tulianza kutaja barabara zinazotaja cbd kwenda nje ya Nairobi si utalia?

Kwanza kubali kwamba Dar iko na njia moja tu ya Class A ndio tuendelee
 
Back
Top Bottom