Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Takwimu ziko aina nyingi tumia hii ya countryeconomy.com

Ukiangalia hapo kwenye kipengele cha magari kwa watu 1000 unaweza ona tofautiView attachment 2507605View attachment 2507606

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ikiwa dar 2012 ilikua na magari 1m nairobi by 2030 tena ni utabiri inaweza kufika au isifike 1.3m cars in nairobi hapa bado unataka tubishane nn 🤣🤣🤣🤣🤣 au ukiona jam kidogo na vile mji ulivokua mdogo basi unaona wana magari mengi tuulize sisi tuliotembea tukajionea
Screenshots_2023-02-05-20-56-27.png
 
Sasa thibitisha Dar kuna magari mengi
Unajua linapokuja suala la uhalisia wa mambo mnakua na vigugumizi sana

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Mm nakupa facts achana na ujinga wa comparison hata mm naeza tengeza comparison yangu nikaweka na kila mtu akaamini uongo 🤣🤣🤣 hii sio ile dunia ya uongo tena ni dunia ambayo hata mtoto wa miaka miwili huwez kumdanganya
 
Mm nakupa facts achana na ujinga wa comparison hata mm naeza tengeza comparison yangu nikaweka na kila mtu akaamini uongo hii sio ile dunia ya uongo tena ni dunia ambayo hata mtoto wa miaka miwili huwez kumdanganya
We kumbe unapenda sana mizaha nilikua sijui

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Udogo wa eneo lazima uhusike kwann usihusike nairobi ni ndogo mara tatu kwa dar so hapo utasemaje udogo wa eneo haungaliwi? Inside 690km sq kuna mapori na national park ya nairobi je dar kuna mapori?? 🤣🤣🤣
Kaka hiyo jamaa tuusan ni kama mwehu fulani.. au huenda labda haijui DAR kindakindaki.. Hivi imagine Dar yote ingekua ni Kinondoni district alone (same size to NAIROBI) hiyo kino yenyewe ilivyo na foleni hadi uko bunju, halafu gari zote Dar ndio zingekua zinakaa kino 🤣🤣🤣 hiyo foleni yake ingekua labda ni Mumbai
 
Nairobi magari ni mengi sana
Kutokana na kutokua na usafiri mzuri wa public option iliobaki ni kila mtu kwenda na gari yake mjini..Matokeo ndio heavy traffic jams

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hata maji yakituama baada ya mvua kidogo itaonekana imenyesha sana kumbe drainage system mbovu.
 
We jamaa unaijua DAR.? View attachment 2507648hizo barabara zote zinakua na foleni, hadi vichochoroni uko.? Au mzee unasumbuliwa na kasumba.?
Denial haitakusadia kijana
Nimekaa sana hapo makumbusho karibu kabisa na kanisa la KKKT nikahamia Makongo juu, ukiniambia sipafahamu Dar utakua unatafuta maneno tu,

Sasa mnavyonishambulia kwa maneno makali ndio ilo mshinde hoja ?

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Kaka hiyo jamaa tuusan ni kama mwehu fulani.. au huenda labda haijui DAR kindakindaki.. Hivi imagine Dar yote ingekua ni Kinondoni district alone (same size to NAIROBI) hiyo kino yenyewe ilivyo na foleni hadi uko bunju, halafu gari zote Dar ndio zingekua zinakaa kino 🤣🤣🤣 hiyo foleni yake ingekua labda ni Mumbai
FYI just under 1/2 of Dar is not built up. Yani ni ushagoo

Dar.jpg
 
Denial haitakusadia kijana
Nimekaa sana hapo makumbusho karibu kabisa na kanisa la KKKT nikahamia Makongo juu, ukiniambia sipafahamu Dar utakua unatafuta maneno tu,

Sasa mnavyonishambulia kwa maneno makali ndio ilo mshinde hoja ?

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Huwa unatembeaga.? Unafanya kazi wapi
 
Back
Top Bottom