mwathadan
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 3,446
- 4,951
Mombasa na dar hazijaachana na mbali, ukiacha blind patriotism utaona hiloMmejitahidi ila nisione tena mkifananaisha huu mji na Dar
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Mombasa na dar hazijaachana na mbali, ukiacha blind patriotism utaona hiloMmejitahidi ila nisione tena mkifananaisha huu mji na Dar
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kama mnavyosifia KDF blindly wakati mnajua wazi kwamba ni useless armyMombasa na dar hazijaachana na mbali, ukiacha blind patriotism utaona hilo



Dummy jeshi lenu lipo drc kwa miaka bila mafanikio yeyote to write about. Kdf imekua drc miezi miwili pekee na mafanikio yanaonekana bila hata kufyatua risasi. Kama hungekua mjinga ungeweza kutambua jeshi ovyo hapoKama mnavyosifia KDF blindly wakati mnajua wazi kwamba ni useless army![]()
Sio blind patriotism Mombasa ni low budget Dar...Ukiangalia iyo sehemu nyumba nyingi ni za ghorofa 3 hadi 5 ,wakati Ilala boma yenyewe sahv imejaa majengo ya kati ya 5 to 10 floor's mengi...hujaenda Kariakoo na maeneo mengine ya jiji...Mombasa na dar hazijaachana na mbali, ukiacha blind patriotism utaona hilo
Just like Mombasa, dar pia majority ya majengo mengi hayafiki 10 floors. High-rises ni moja moja hayako concentrated in one area. Lete aerial view ya dar ulinganishe na hiyo ya MombasaSio blind patriotism Mombasa ni low budget Dar...Ukiangalia iyo sehemu nyumba nyingi ni za ghorofa 3 hadi 5 ,wakati Ilala boma yenyewe sahv imejaa majengo ya kati ya 5 to 10 floor's mengi...hujaenda Kariakoo na maeneo mengine ya jiji...
Nachokueleza ni Hakika sio uzalendo mafi
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hahaha, wewe ni pimbi Sana, Kila kukicha M23 wanazidi kuteka miji na vijiji, KDF wameufyata mkia wanaogopa hata kufyetua risasi kwa kuogopa kushambuliwa, Sasa walifuata nini huko DRC?Dummy jeshi lenu lipo drc kwa miaka bila mafanikio yeyote to write about. Kdf imekua drc miezi miwili pekee na mafanikio yanaonekana bila hata kufyatua risasi. Kama hungekua mjinga ungeweza kutambua jeshi ovyo hapo
wewe ni mpumbavu wa wapi?Just like Mombasa, dar pia majority ya majengo mengi hayafiki 10 floors. High-rises ni moja moja hayako concentrated in one area. Lete aerial view ya dar ulinganishe na hiyo ya Mombasa
Jeshi lenu, la uganda n.k...hadi majeshi ya s.sudan yapo drc ila wewe pimbi mkubwa unaona tu jeshi la kenya. We unawashwa na inferiority complex wacha nikuacheHahaha, wewe ni pimbi Sana, Kila kukicha M23 wanazidi kuteka miji na vijiji, KDF wameufyata mkia wanaogopa hata kufyetua risasi kwa kuogopa kushambuliwa, Sasa walifuata nini huko DRC?
Mombasa na dar ni miji iko karibu kufanana. Infact mombasa inaweza kuwa afueni kwa kuwa haina uswazi in large scale na inaonekana more organized ukilinganisha na darwewe ni mpumbavu wa wapi?
Ninyi wakenya ni wapumbavu Sana, mnapenda kujisifu Sana wakati hamna uwezo wowote, hayo mafanikio ya KDF mnayosema yako wapi, huko Goma KDF hawatakiwi na raia baada ya kushindwa kazi, Kama mlivyoshindwa South Sudan Hadi kufukuzwa na UNDummy jeshi lenu lipo drc kwa miaka bila mafanikio yeyote to write about. Kdf imekua drc miezi miwili pekee na mafanikio yanaonekana bila hata kufyatua risasi. Kama hungekua mjinga ungeweza kutambua jeshi ovyo hapo
KDF hamtakiwi, ondokeni mrudi kwenu, mumefika DRC sio zaidi ya miezi 4, lakini tayari raia hawawakubali.Jeshi lenu, la uganda n.k...hadi majeshi ya s.sudan yapo drc ila wewe pimbi mkubwa unaona tu jeshi la kenya. We unawashwa na inferiority complex wacha nikuache
Ona jinsi JWTZ linavyotumainiwa huko DRCJeshi lenu, la uganda n.k...hadi majeshi ya s.sudan yapo drc ila wewe pimbi mkubwa unaona tu jeshi la kenya. We unawashwa na inferiority complex wacha nikuache
Dar ina ghorofa nyingi za 20 floors kuliko Nairobi!Mombasa na dar ni miji iko karibu kufanana. Infact mombasa inaweza kuwa afueni kwa kuwa haina uswazi in large scale na inaonekana more organized ukilinganisha na dar
Jeshi lenu, la uganda n.k...hadi majeshi ya s.sudan yapo drc ila wewe pimbi mkubwa unaona tu jeshi la kenya. We unawashwa na inferiority complex wacha nikuache
Ila aliewaroga hawa sahiv anaungua na moto tu 🤣🤣🤣🤣Kwa sababu wapenzi wachafu hawaogi kwa kuwa hamna maji au?![]()
Kwa mombasa ipi ?? Ninaeijua au kuna nyingine kenya 🤣🤣🤣🤣 magorofa yamejaa ya udongo hapo old town alaf ndio hayo unayafananisha na wapi?Mombasa na dar hazijaachana na mbali, ukiacha blind patriotism utaona hilo