DAR real estate is $3bn more than Nairobi. Ikae kichwani tafadhali.How many times should we prove this Geza? You're not even half what Nairobi is in that sector. [emoji1787] [emoji1787]
DAR real estate is $3bn more than Nairobi. Ikae kichwani tafadhali.How many times should we prove this Geza? You're not even half what Nairobi is in that sector. [emoji1787] [emoji1787]
Tanzania inaanza kuiuzia Kenya fertilizers from Dodoma
This industry is fully financed by CRDB Bank
Mbona msongamano mkubwa chini, juu anapita nani au tozo ya mchina ni hotDream versus Reality 😂😂😂😂
7 months old project 🤣
View attachment 2506309View attachment 2506310View attachment 2506311
Utajenga vipi kiwanda cha mbolea wakati huna raw materials sisi huku tunatumia gas kama raw material na power source hivyo mbolea yetu will be cheaper than yao.Kenya walijenga kiwanda cha mbolea na kujisifia sana hapa jf, kimefia wapi .
Nairobi magari ni mengi sanaMbona msongamano mkubwa chini, juu anapita nani au tozo ya mchina ni hot
Hao wazoee tu, ni watu wa kelele na kupenda sifa za kijinga, hawana loloteKenya walijenga kiwanda cha mbolea na kujisifia sana hapa jf, kimefia wapi .
If a trophy for the most hateful person in the world was given, you would receive it unchallenged.Hao wazoee tu, ni watu wa kelele na kupenda sifa za kijinga, hawana lolote
Kwa kamji kadogo kama NAIROBI foleni ni lazima na ni lazima uone kama kuna gari nyingi.. 500 km² city sawa na Kinondoni district alone .. imagine wakazi wote wa dar wangekua wanaishi kwenye kaeneo kadogo kama NAIROBI.. I'm telling you ungeweza kuona idadi kubwa ya gari 3× than that of NaiporiNairobi magari ni mengi sana
Kutokana na kutokua na usafiri mzuri wa public option iliobaki ni kila mtu kwenda na gari yake mjini..Matokeo ndio heavy traffic jams
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Magari Nairobi ni mengi kuliko dar, issue ya udogi wa eneo hapo haihusikiKwa kamji kadogo kama NAIROBI foleni ni lazima na ni lazima uone kama kuna gari nyingi.. 500 km² city sawa na Kinondoni district alone .. imagine wakazi wote wa dar wangekua wanaishi kwenye kaeneo kadogo kama NAIROBI.. I'm telling you ungeweza kuona idadi kubwa ya gari 3× than that of Naipori
Waambie, labda Mtanzania mwenzao akisema wataelewa.Magari Nairobi ni mengi kuliko dar, issue ya udogi wa eneo hapo haihusiki
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Nna uhakika unanyanyasika sn kwenye ndoa wewe.Magari Nairobi ni mengi kuliko dar, issue ya udogi wa eneo hapo haihusiki
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Wewe kua na uhakika na maisha yako inatosha sanaNna uhakika unanyanyasika sn kwenye ndoa wewe.
Mjinga wewe kwani hukuwepo humu wakati takwimu za magari kati ya Nairobi na Dar zinawekwa? Wacha kuendekeza inferiority complex unajidhalilisha, kuna vitu kibao unavijua ukweli wake lkn unafanya kusudi kuwapa credit Wakenya, upumbavu huo badilika.
Achana naye huyo. Ameamua kuwa adui yetu.Mjinga wewe kwani hukuwepo humu wakati takwimu za magari kati ya Nairobi na Dar zinawekwa? Wacha kuendekeza inferiority complex unajidhalilisha, kuna vitu kibao unavijua ukweli wake lkn unafanya kusudi kuwapa credit Wakenya, upumbavu huo badilika.
Tuusan huwa ni mjinga mjinga sn, takwimu za magari ziliwekwa humu tangu mwaka juzi kama sikosei na ikaonekana jamaa tumewapita parefu, na hata yeye tuusan anajua hilo lkn kutokana na inferiority complex yake ya kipumbavu anaongea pumba kama hizo, tumueleweje mtu huyu? Huyu ni mtz kweli huyu? Au ni mkenya anayejifanya mtz.Achana naye huyo. Ameamua kuwa adui yetu.
Hakuna takwimu yoyote ya kuonyesha tumewazidi magari, tatizo lako wewe ni mtu ambae uko kama jiwe,haupatani na ukweliMjinga wewe kwani hukuwepo humu wakati takwimu za magari kati ya Nairobi na Dar zinawekwa? Wacha kuendekeza inferiority complex unajidhalilisha, kuna vitu kibao unavijua ukweli wake lkn unafanya kusudi kuwapa credit Wakenya, upumbavu huo badilika.
Mjinga wewe kwani hukuwepo humu wakati takwimu za magari kati ya Nairobi na Dar zinawekwa? Wacha kuendekeza inferiority complex unajidhalilisha, kuna vitu kibao unavijua ukweli wake lkn unafanya kusudi kuwapa credit Wakenya, upumbavu huo badilika.
Mpumbavu huyu, utakuta Wakunya wanaanzisha battle ya Mombasa na Dar alafu huyu mpumbavu anachangia as if kuna ulinganifu kweli, hivi battle kama hiyo ni ya kuchangia kweli? Mombasa haiiwezi hata Zanzibar but huyu mjinga utakuta anashindana na Wakenya eti kuhusu Mombasa, anajifanya hajui lengo la wakundustan.Neno shobo lingekuwa mtu basi angekuwa ni yeye, mtu unashobokea nchi inayozunguka mitandaoni kuichafua nchi yako!
Mpumbavu huyu, utakuta Wakunya wanaanzisha battle ya Mombasa na Dar alafu huyu mpumbavu anachangia as kuna ulinganifu kweli, hivi battle kama hiyo ni ya kuchangia kweli? Mombasa haiiwezi hata Zanzibar but huyu mjinga utakuta anashindana na Wakenya eti kuhusu Mombasa, anajifanya hajui lengo la wakundustan.
Ndio maana nikamwambia nina uhakika ndoa yake inamsumbua sana.Ni maharage ya mbeya maji mara moja.