nyangau mkenya
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,668
- 3,138
Hawa wana vichwa vya panzi, hawajui kuchanganua mambo mkuu, uwanja unaonekana kabisa unaruhusu running track lkn wanabisha, waambie walinganishe talanta pitch size na fumba alafu waone utofauti. Pitch ya Fumba ipo karibu kabisa na watazamaji, pitch ya talanta na Arusha zote ziko mbali na watazamaji kwasabu ni viwanja vya Olympic.basi ulikua mbele ya mda mzee baba
Kenya na uganda bado hawana sifa za ku host michuano mikubwa, tena bora uganda na viwanja vyao below standard, lkn Kenya wana kiwanja kimoja tu chenye caf standard na wanashindwa kumeet requirements. Tz imezungukwa na nchi maskini sn aisee.aliewaweka kenya kwenye BID lazima tumlaani, yaani CHAN was the red line but we didnt listen
View attachment 3680373
Sasa hebu angalia huu ubabaishaji, watu wanataka ku host Afcon alafu uwanja wanaotegemea ndo huo kasarani 😂😂😂😂😂jameni watu wamechukua loans kujenga stadia 🤣🤣🤣🤣
View attachment 3680370
Duh mnahesabu hadi off grid generation🤔 🤣🤣🤣Baboonman. This was before June this year, Our geothermal has increased tremendously since then.
View attachment 3680251
tumzungukwa na vilaza 🤣 🤣 btw ule talanta bado hauna standard same kwa ule wa Hoima bado hawajapewa CAT 4Kenya na uganda bado hawana sifa za ku host michuano mikubwa, tena bora uganda na viwanja vyao below standard, lkn Kenya wana kiwanja kimoja tu chenye caf standard na wanashindwa kumeet requirements. Tz imezungukwa na nchi maskini sn aisee.
Toka CHAN wanasumbua kichzMm since day 1 sikuunga mkono pamoja bid kwasabu nilijua kuna watu hawana huo uwezo zaidi ya kujipiga vifua mbele ya camera, kwanza hata kama Kenya wangekuwa na muscles za kuandaa Afcon lkn ukweli ni kwamba 2027 kwao kutakuwa na vita vya kisiasa, so hii michuano tunaweza tukaikosa kwa uzembe wetu wa kukubali ku host pamoja na hawa watu.
wameambiwa toka mwanzo wabomoe upande mmoja waweke BOX mpaka leo hawajaanza, i wish nimjue alieleta wazo la kuungana na hawa kunguni 😭 😭 😭 Rwanda walikuepo tayar, BTW msigwa alisema never ever will this happen Again since CHANSasa hebu angalia huu ubabaishaji, watu wanataka ku host Afcon alafu uwanja wanaotegemea ndo huo kasarani 😂😂😂😂😂
Yes exactly you are rightHawa wana vichwa vya panzi, hawajui kuchanganua mambo mkuu, uwanja unaonekana kabisa unaruhusu running track lkn wanabisha, waambie walinganishe talanta pitch size na fumba alafu waone utofauti. Pitch ya Fumba ipo karibu kabisa na watazamaji, pitch ya talanta na Arusha zote ziko mbali na watazamaji kwasabu ni viwanja vya Olympic.
Fans watakua close na players na ni $1.3B 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
alafu jamaa anaanza ujenzi hajasign chochote ama dili la wakubwa 🤣🤣🤣
View: https://x.com/business/status/2104681342508146932?s=20
Funny sanaFans watakua close na players na ni $1.3B 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
wa Arusha ni olympic stadium so thats not expected but wenu mlisema ni football only 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Jamaa anaanza ujenzi hajasign sasa hatuelewi mradi wa nani 🤣🤣🤣Hamna ujenzi hapo hizo ni propaganda za tutam hujui uchaguzi umekaribia? itakuja miradi mingi sana kipindi hiki mara tunaunganisha reli na TZ, mara refinery mara power generation utaona mengi mpaka 2027
Biashara inalipa mkuu most of these buses are full everyday Tanzanians travel alot.huyu jamaa sjui anafanya komoa