Amari
JF-Expert Member
- Nov 16, 2021
- 974
- 2,144
Kuna jamaa ka post picha akikata tiketi ya Basi Kwa simu... Ameweka ka Itel cha toleo la nyuma sanasio sinia tu, Pixel pia zinasema kuhusu aina ya device
![]()

Kuna jamaa ka post picha akikata tiketi ya Basi Kwa simu... Ameweka ka Itel cha toleo la nyuma sanasio sinia tu, Pixel pia zinasema kuhusu aina ya device
![]()

Ndio kiwalani hukoHizi wameziweka mitaani?
Hadi tuk tuk wame behave !Sasa subiri uone tuktuk za mombasa utasema labda mumbai india 🤣🤣🤣OrderHadi tuk tuk wame behave !

tuk tuk zote mpya zimepita KDL 
20K kwa nusu saa? Maelezo zaidi tafadhali.Miezi kadhaa kabla mkulungwa flani hajaondoka nilikua napiga tizi na 20K kila siku kwa nusu saa kwenye mtaa huu![]()
Teargass kaingia na ID mpya.
better than Nairobi greenpark bus terminal!
I hope so , tho najua mwaka huu ujenzi lazima uanzeArenas?![]()
Kiwalani wamependelewa sn.Ndio kiwalani huko