Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unasema kifo cha nani mkuu [emoji849][emoji849][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Hio KCB yenyewe inamilikiwa na makampuni kibao ya nje itakua hio equity 🤣🤣🤣🤣
 
Pesa ya SGR imetoka
1)AfDB
2)GoT
3)Standard charter Bank
 
China haina ligi bora duniani, wala hawajawahi kushiriki kombe la dunia, lakini kutokana na ukubwa wa taifa lao cheki hizi stadias zao babaake .. tuusan The best 007 njoo unisaidie ushuhuda .. 👇234578910111213141516171819.. duh list ni ndefu sana nimechoka kupost picha asee.. but hizi zote ni Chinese national stadias au sports centers.. tuusan. Heshimu China kaka
 
Kenya mkinionesha behewa kama hili mimi nafunga account yangu hapa JF.

Behewa aina hii hupatikana TZ tuu. Africa nzima hakuna behewa kama hili.

Mizigo ya JNHPP inabebwa kwa behewa aina hii.


Specs: Wide cargo in excess of 7 meters, heavy cargo in excess of 200 tons
 
Ukiachana na hizo copy cut cities za Europe in China.. still kuna hili jiji by the name of DALIAN city, huu mji wote unakaa Europe [emoji116] . The best 007 tuusan
Hawa wachina wamewachoresha sn wazungu mpk wanaonekana ni kituko tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mmenyoroshwa kweli kweli kilichobaki ni kupinga kila kitu, kwa kifupi ni kwamba hakuna infrastructure ipo Europe na Amerika ikakosa kuwepo China ila kuna infrastructures kibao zipo China huwezi kuzikuta Europe na Amerika, tuishie hapo tuendelee na battle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…