The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Sana tu mkuuKuna watu wakubwa na politicians wanakuja kimya kimya![]()








Sana tu mkuuKuna watu wakubwa na politicians wanakuja kimya kimya![]()








Utakua umenisaidia sana kaka.. 🙏.. westerners hawana cha kumzidi mchina labda kwa idadi ya mabomu 🤣🤣Ngoja nikiwa na muda niweze kuwaonesha watu in Details kuhusu china. Hizi GDP za mchongo za watu wa Magharibi zinawachanganya sana watu.
Miradi gani bongolala? Ya treni ya waturuki ama?
Hili eneo litakua poa sana.. kwanini serikali wasilipee kipaumbele na kuvunja hizi takataka zilizozunguka (Uswazis) ili tupate center of business nzuri.. tena ukizingatia miondombinu yote ipo karibu+BRT depot pembeni hapo.. View attachment 2501595
Wewe wa wapi wewe?? Mbona hovyo?Mpuuzi usiyejielewa ! miye nipo huku Nairobi mwaka wa sita sasa!. Umekalisha makalio hapo dar nyuma ya key board! Siitetei Kenya ila ni vizuri ukawa objective wakati wa kuargue!
Mjadala huu umeendelea muda mrefu na nimekuwa mchangiaji mkubwa sijui nini kinakuwasha wewe!
Ukianza excuse za GDP ni namba ndio hua naona unapenda league za ajabu ajabu tu.GDP ni namba tu kaka, tukianza kuchimbua hapa hizo miji kwa mfano Chicago inazalisha nini hata iwe na hiyo figure tutaishia kujua ni uongo tu..
By the way modernity+majengo+better infrastructure.. indicate development
I also would like to let you know that Shenzhen is bigger 4× to Chicago, 2 times to London, na hizo miji miji za Zamani umetaka hapo..
View attachment 2501566chicago
View attachment 2501580london
View attachment 2501582.. nikisema pia tuanze kuchimbua kuhusu systems kwenye hii miji still Shenzhen itakua ahead of these takatakas for at least 20 years.. Shenzhen is a cyberpunk city, it has no comparison outside side china.. pitia hii vid uijue Shenzhen
.
Jipe moyo kijana UtayashindaHuu ni uongo manzee na nafsi yako itakusuta .. Tokyo ni takataka tu kwa majiji ya China
GDP ni namba tu kaka, tukianza kuchimbua hapa hizo miji kwa mfano Chicago inazalisha nini hata iwe na hiyo figure tutaishia kujua ni uongo tu..
By the way modernity+majengo+better infrastructure.. indicate development
I also would like to let you know that Shenzhen is bigger 4× to Chicago, 2 times to London, na hizo miji miji za Zamani umetaka hapo..
View attachment 2501566chicago
View attachment 2501580london
View attachment 2501582.. nikisema pia tuanze kuchimbua kuhusu systems kwenye hii miji still Shenzhen itakua ahead of these takatakas for at least 20 years.. Shenzhen is a cyberpunk city, it has no comparison outside side china.. pitia hii vid uijue Shenzhen
.
Weka noti hapo Mkuu wakupishe ushushe vitu, its a free world.😅Hili eneo litakua poa sana.. kwanini serikali wasilipee kipaumbele na kuvunja hizi takataka zilizozunguka (Uswazis) ili tupate center of business nzuri.. tena ukizingatia miondombinu yote ipo karibu+BRT depot pembeni hapo.. View attachment 2501595
Wachina 1.4B wanakaribiwa na waingereza 80M kwa publications?wape kongole waingereza kwenye hiyo list na USATunatakiwa tuipe heshima yake china jamani
View attachment 2501635
Wanafikiri USA ni rika moja na CHINA hawa wananishangaza mnoUnajua unatakiwa uwe na facts ndio unakuwa unamake sense, vinginevyo nakuwa kama tu kama nabishana na dereva wa bodaboda,
Huo mji mzuri wa majengo wa uchina Utazidi nini Chicago zaidi ya eneo ? Yaani hata mnaposema China itazidi US kwa technology mnakuwa kama watu wasiojua mambo,
China is doing good, na imejitahidi sana, but levels kaka, Levels !
Sasa just imegine hiyo Chicago wewe sababu huijui huelewi kuwa Illinois ndio makao Makuu yamakampuni makubwa Duniani Kama Abbott , Boeing, MacDonalds , John Decree, Motorola nk ,
Huo mji wa uchina una nini ?
China hawana hata leseni ya kuzalisha ndege za abiria.. ndio kwanza wanaanza sasa hivi kupambana, ila Chicago ndio HQs za Boeing ..
Tazama haya makampuni yamebase Illinois , yaani Chicago Ndio HQs,
Next time watu wakisema Chicago ina GDP mara tatu ya Shenzhen hii ndio maana yake.. Elimu. View attachment 2501647
View attachment 2501648
View attachment 2501649
Ukianza excuse za GDP ni namba ndio hua naona unapenda league za ajabu ajabu tu.
Basi kama gdp ni namba kwann zisiwe kubwa Shenzhen?
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Wanafikiri USA ni rika moja na CHINA hawa wananishangaza mno
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app



Good question brother.Ni asilimia ngapi serikali inamiki kwenye huu mradi?
Hivi wewe unajua zaidi kuliko IMF na WB ?Kenya ipo nafasi ya nne baada ya Nigeria, South Africa na Angola