Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Miradi gani bongolala? Ya treni ya waturuki ama?Tumeshawapita mda mrefu imebaki makaratasi tu, ukitaka ushahidi angalia miradi tunayofanya hamuwezi kuifanya hata robo ya hiyo.
Miradi gani bongolala? Ya treni ya waturuki ama?Tumeshawapita mda mrefu imebaki makaratasi tu, ukitaka ushahidi angalia miradi tunayofanya hamuwezi kuifanya hata robo ya hiyo.
Wacha kuchekesha 🤣🤣.. hakuna taifa linalozidi china kwenye hii dunia kaka.. najua hujui kuhusu haya mataifa nakusanua sasa.. China imetoa mikopo kibao katika miradi ya maendeleo in Brazil .. 👇. . China pia ndio wajenzi huko Brazil 👇. China ni baba wa dunia kwasasaWell, let me give you simple facts ,
China GDP -$17t- Population 1.3b
US GDP $25t Population 330m
Japan GDP 5t- Population-120m
Hapo unadhani nani ni masikini?
Kama hujui China ina watu wengi sana masikini wa kutupwa vijijini, ukiona wanajenga hizi majengo marefu ni kwa ajili ya kuhudumia population kubwa waliyonayo..
Sasa unataka UAE yenye watu milioni 10 au qatar yenye watu milioni 3 wajenge majiji mengine ili akakae nani ?
Priorities,
China wako vema Sawa, ila levels zao ni kina South Korea, Brazil.
Mchina ni mhindi aliyechangamka.
Kwahyo south Korea ni zaidi kimaendeleo mbele ya china.? 🤣🤣South Korea wako levels kk huwezi wafananaisha na wachina
Wachina pia wameendelea sana huwezi wafananisha na wahindi.
Mhindi hali yao duni tu kama waafrica
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Shenzhen View attachment 2501490View attachment 2501494View attachment 2501496View attachment 2501503View attachment 2501507View attachment 2501509View attachment 2501510View attachment 2501515View attachment 2501518View attachment 2501521View attachment 2501522View attachment 2501523View attachment 2501524View attachment 2501526View attachment 2501527unaskia Bro game over. Labda New York ndio inaweza tia pua kwa Shenzhen, lakini sio mji wowote ule kwenye hii dunia tunayoishi ..
South Korea wako levels kk huwezi wafananaisha na wachina
Wachina pia wameendelea sana huwezi wafananisha na wahindi.
Mhindi hali yao duni tu kama waafrica
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app

Hebu nitajie hizo unlimited potentials zenye mmekuwa tu nazo saa hii that you didn't have before. Ama zimeshuka toka mbinguni?You may hear it for another decade, that doesn’t mean you are not going to be overtaken, that’s how things work, fuatilia historia ya namna hizi nchi za Tz na Kundustan zimekuwa zikiovertekiana kwenye chumi zao tangu miaka ya 1960’s
But this time is different , mna hali mbaya, mmefika mwisho, mmeumaliza mwendo, and this is because Kenya has no potentials, Tz has unlimited potentials.
Wacha kuchekesha.. hakuna taifa linalozidi china kwenye hii dunia kaka.. najua hujui kuhusu haya mataifa nakusanua sasa.. China imetoa mikopo kibao katika miradi ya maendeleo in Brazil ..
. . China pia ndio wajenzi huko Brazil
. China ni baba wa dunia kwasasa
Unataka facts zipi.? Maandishi au.? Mimi nimekurahishia kwa picha na video kwasababu in Africa seeing is believingFacts ziko wapi ?
Huku upande mwingine wajapani hawana sehemu ya kukaa. Mambo ni magumu sana.Well, let me give you simple facts ,
China GDP -$17t- Population 1.3b
US GDP $25t Population 330m
Japan GDP 5t- Population-120m
Hapo unadhani nani ni masikini?
Kama hujui China ina watu wengi sana masikini wa kutupwa vijijini, ukiona wanajenga hizi majengo marefu ni kwa ajili ya kuhudumia population kubwa waliyonayo..
Sasa unataka UAE yenye watu milioni 10 au qatar yenye watu milioni 3 wajenge majiji mengine ili akakae nani ?
Priorities,
China wako vema Sawa, ila levels zao ni kina South Korea, Brazil.
Mchina ni mhindi aliyechangamka.
Kuko sawa BUT Tokyo pako vizuri zaidiShenzhen View attachment 2501490View attachment 2501494View attachment 2501496View attachment 2501503View attachment 2501507View attachment 2501509View attachment 2501510View attachment 2501515View attachment 2501518View attachment 2501521View attachment 2501522View attachment 2501523View attachment 2501524View attachment 2501526View attachment 2501527unaskia Bro game over. Labda New York ndio inaweza tia pua kwa Shenzhen, lakini sio mji wowote ule kwenye hii dunia tunayoishi ukiitoa China..
By far mkali fuatiliaKwahyo south Korea ni zaidi kimaendeleo mbele ya china.?![]()
Wahindi nao ni ulimwengu wa tatu wala siwachukulii poa ndio hali yaoHeheh Tuusan unawachukulia Poa sana wahindi, hadi unafananisha na sisi watu wa ulimwengu wa tatu![]()
GDP ni namba tu kaka, tukianza kuchimbua hapa hizo miji kwa mfano Chicago inazalisha nini hata iwe na hiyo figure tutaishia kujua ni uongo tu..Sasa unaanza kunifanya nikuone wa kawaida sana,, Naomba sasa tuongee kwa kuambatanisha facts kama ambavyo nimekujibu hapo juu, Picha pekee bila facts hazithibitishi.
Huwezi fananisha huo mji wa shenzhen wenye GDP ya $400b against mji mkubwa kama Tokyo yenye GDP ya $1.5t sababu tu ya majengo mapya yaliyopangwa,
kwa uhalisia huo mji umeweka apart from buildings hakuna kitu humo, ni mji mdogo sana ukilinganisha na levels za London au Paris au Rome, huo mji wa China unaingia mara mbili kwa Chicago.
Huu ni uongo manzee na nafsi yako itakusuta .. Tokyo ni takataka tu kwa majiji ya China
🤣🤣 Sawa
Hebu nitajie hizo unlimited potentials zenye mmekuwa tu nazo saa hii that you didn't have before. Ama zimeshuka toka mbinguni?

Ngoja nikiwa na muda niweze kuwaonesha watu in Details kuhusu china. Hizi GDP za mchongo za watu wa Magharibi zinawachanganya sana watu.🤣🤣 Sawa