The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,484
- 98,529
Angalia conyoy hilo.
Angalia conyoy hilo.
Hilo limoja lilitumbuliwa ila hilo zee lingine halijatumbuliwa ila ni li Zanzibar.Anakera sana lazma ni ile mijitu ilotumbuliwa lazmaaaaaaaaa
Punguza wivu wa kike, ukizidiwa kubali. Hakuna uwezekano wowote wa kuifikia Tz kwa sasa, unalinganisha Tz na kanchi kenye uchumi wa $5 bn huna akili wewe. Uchumi wao wote haufikii thamani ya SGR ya Tz punga wewe.You should thank me for knowing that there are European countries that do not have electric trains which is directly opposite of what you believed. And yes, these countries are a million times better financially than your shithole country
Inatakiwa tuanze kuwauzia unga na sio mahindi, kama hawataki wakafie mbele tusiwabembeleze kwa kuwaonea huruma inatakiwa tuwakomeshe ili ijulikane baba ni nani hapa EA. Tuna soko kubwa SADC.
Sinia la kwendaBoss najua bei ya hilo tunda pale Simply fresh
Hiko kisahani tu kuna mkulungwa ananunua kilo 3 za ile kitu kwenye lile sinia juu ya kiti![]()









Unaumwa Mavi wewe sio bureCold solutions EA largest of its kind in East Africa coming up at Tatu City alafu Dodoma ulinganishe Na City kama hii Ni jokes
View attachment 2499033


















Kuna kituo nilikuwa sikipendi kinaitwa stesheni kama sikosei, kipo nyuma ya hayo majengo, wakibomoe haraka sana kinaleta picha mbaya, ilikuwa kama stand za Kenya.
Kwahiyo wewe unaona sawa watu humu kukasirika mama kutumiwa pongezi za siku yake ya kuzaliwa? Kisa mwendazake hakuelewana na Wakundustan? Haya mbona hayakuwapo pre Sukumagang mentality era? Mbona kuelewana kwa Magufuli na Kagame hakukuleta figisufigisu kutoka kwa wafuasi wa JK? Au mnataka tufike mahali tusipeane pole kwenye majanga pia na majirani?Mzee hujui tu unavyoniudhi. Kwanini unaleta siasa za kutugawa watanzania. Unapata faida gani kuendekeza mambo haya. Itabidi nikufuatilie nijue nani anawalipa.
Kile kituo hakiwezi kuvunjwa mzee. Ni muhimu sana. Sema kinahitaji kuboreshwaKuna kituo nilikuwa sikipendi kinaitwa stesheni kama sikosei, kipo nyuma ya hayo majengo, wakibomoe haraka sana kinaleta picha mbaya, ilikuwa kama stand za Kenya.
Cyprus and Greece are sovereign states, Zanzibar is part of Tanzania. Wacha kupotosha umma weweCyprus and Greece dugu moja Andorra and Spain dugu moja watu wa Catalan hao. All are principalities within a larger European states same as Zanzibar is a nation within Tanzania.
Dah usiombe kama nchi mfike huku 😂😂😂😂😂View attachment 2499309
Nicxie nimekuona hapo
Wewe unanifundisha mimi kuhusu muungano wa Tanzania. Haya nieleze basi kwanini Tanzania kuna maraisi wawili?Cyprus and Greece are sovereign states, Zanzibar is part of Tanzania. Wacha kupotosha umma wewe
Nilitaka kutype but nkakumbuka Mwanasheria wangu yupo SeoulWewe si Huwa unajifanya ni neutral? Ngoja wakupe vitasa 😂😂
Sukuma gang wananishangaza sana wako kama machadomo,wanakana kazi za Rais wa Sasa na kuona hazina maana huku wakitaka Mwendazake asifiwe tuu na asikosolewa ni dhambj manaa yeye ni malaika na kwamba marehemu hasemqi vibaya eti aachwe apumzike 😁😁😁😁
This is politics lazima watu wasemwe bila kujalisha wako hai au laa,Kwa mazuri au mabaya yote yana maana kwenye kujifunza.
View attachment 2499309
Nicxie nimekuona hapo
Wazanzibari,, kweli Mwanasheria wangu hajarudiHilo limoja lilitumbuliwa ila hilo zee lingine halijatumbuliwa ila ni li Zanzibar.