Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Mhindi kapiga kazi ya maana kaacha wakenya masikini wakijihangaikia 😆😆
Huyo ni mkenya bongolala, pole kwa maumivu
Mhindi kapiga kazi ya maana kaacha wakenya masikini wakijihangaikia 😆😆
Mchele kg1 tsh2800View attachment 2496382
View attachment 2496384
Mzee hebu acha kutuaibisha watanzania bana. Umaskini na Mfumuko wa bei vina uhusiano gani?
Unajua mfumuko wa bei unatokana na nini?
Sasa mbona mapovu kwan mm nimesema nn 🤣🤣🤣🤣Huyo ni mkenya bongolala, pole kwa maumivu
Wewe ndio huyo kazikazi kumbe? Jamaa hakuwa na akili kabisa.Unapenda kukaa mbele sana, utakuja kufanywa vibaya na wanaume. Vipi huko Nairaland umrchoka kuichafua Tanzania?
View attachment 2496587
Kunywa Tusker baridi ama Serengeti baridi upunguze hasira.We all know that isn't true.
Your land is foreign owned and partially owned by few tribal goons. Your entire economy is run by private sector wherein nearly no black plays any meaningful role.
Kenyans are landless, employees and slaves in their own country.
Every Kenyan's dream is owning a house in those leafy surbubs. Bongolalas will never understandThings that bongolalas hate to see. They then resort to calling such places forest just because they don't have such in Dar, ni uswazi kila corner.
Imagine living in such a place. The cool breeze from the trees, the chirping birds, the shade, coolness. I mean it's just heavenly. Sadly, our sourthernes neighbours hutamani sana but because they can't have such, they decide to troll and make fun of such a relaxing environment! Poor souls
So Rostam Aziz, Mohamed Enterprises ni wahindi kwa sababu ni Tz ila akiwa raia wa Kenya ni mkenya, mna wivu sn na Tz nyie watu.Huyo ni mkenya bongolala, pole kwa maumivu
Hawa Uganda nao tumewachoka, kila siku wimbo huo huo wanavutiwa ila jitihada hatuzioni, kama hawana pesa waseme tuwajengee waache kuvutiwa vutiwa kila siku.
Hizo tusker huku hazipo cku hz, pombe za Kenya karibu zote tulizipiga ban zina ladha mbaya kama unakunywa chang'aa.Kunywa Tusker baridi ama Serengeti baridi upunguze hasira.
![]()
Slums zinaonekana mkuu sio vitu vya kufikirika kama takwinu za kwenye makaratasi.Mbona haipo kwenye list ya miji yenye ma slums duniani au wanaipendelea Dar hawaiweki kwenye list moja na ka Nairobi![]()
Hawa Uganda nao tumewachoka, kila siku wimbo huo huo wanavutiwa ila jitihada hatuzioni, kama hawana pesa waseme tuwajengee waache kuvutiwa vutiwa kila siku.





Who owns Safaricom tuanzie hapo kwanza.Mhindi kapiga kazi ya maana kaacha wakenya masikini wakijihangaikia
Kwahiyo mhindi wa Kenya ni Mkenya ila Mhindi wa Tanzania sio Mtanzania sio? Maana hivyo ndio huwa mnasema siku zote tuwaelewe vipi sasa?Huyo ni mkenya bongolala, pole kwa maumivu
Hapo ndio wameshaingia kichwa na miguu na wanataka reli yao iwe na standards kama za rel8 ya Tz.Hawa Uganda nao tumewachoka, kila siku wimbo huo huo wanavutiwa ila jitihada hatuzioni, kama hawana pesa waseme tuwajengee waache kuvutiwa vutiwa kila siku.
Na msomali wa Kenya si mkenya? Mtu generation yake ya tatu au nne ni wa KenyaKwahiyo mhindi wa Kenya ni Mkenya ila Mhindi wa Tanzania sio Mtanzania sio? Maana hivyo ndio huwa mnasema siku zote tuwaelewe vipi sasa?
Nyie ni mara ngapi mnasemanga hapa kwamba wasomali sio wakenya wakati mtu kazaliwa Kenya hadi generation yake ya tatu au nne?So Rostam Aziz, Mohamed Enterprises ni wahindi kwa sababu ni Tz ila akiwa raia wa Kenya ni mkenya, mna wivu sn na Tz nyie watu.