President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Kennedy unakataa jina lako. Unapenda kutumia jina gani?Again my name is not Kennedy na sikusomea KU
Kennedy unakataa jina lako. Unapenda kutumia jina gani?Again my name is not Kennedy na sikusomea KU
Mbona hukuletea ushahidi alaf ukanikosoa ww chizi kweli 🤣🤣🤣🤣🤣 nikuletee proof ww kama nani ??? Au ww ndio ulinilipia mahitaji yangu yote???🤣🤣🤣 hamupendi ukweli kumbeyou posted many none existent photos, most of those places have been upgraded leta proof from migori ulikuja Nairobi
Walifanya marekebisho madogo madogo ila concept nzima ni Dodoma.Abuja imekua designed na Mjapani...
Labda kama walikuja kuchukua tips za hapa na pale tu
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ukweli ni mzuri ikiwa haki inazingatiwa. Mtu anayesemwa ameshakufa hawezi kujitetea why azushiwe uongo wa vitu ambavyo hakufanya.Hamtaki kuambiwa ukweli.
![]()
![]()
![]()
![]()
Hapa usiposoma vizuri ndio imetoka hiyo
![]()



Wewe furahisha watz wenzako but you knw the truth tuMbona hukuletea ushahidi alaf ukanikosoa ww chizi kwelinikuletee proof ww kama nani ??? Au ww ndio ulinilipia mahitaji yangu yote???
hamupendi ukweli kumbe

Kwan upo mmoja???Kumbuka Mgodi wa makaa ya mawe ni wa chama cha mapinduzi! Sidhani kama kutakuwa na ukusanyaji wa kodi!
Mnazalisha umeme mwingi ila wa bei ghali sana ...Ubaya wa kuchangia mada usichoelewa. Je wajua kwamba kwa sasa Kenya inazalisha umeme nyingi kuwaliko? High electricity tariffs hailetwi na ukosefu wa umeme jinsi unavyokusudia kusema, bali ni tatizo la high fuel costs which increases their operation costs. To cover for those increment, they have to hike prices.
Ndio maana huyo jamaa kasema kwenye hiyo Tweet kwamba suluhisho ni Kenya Power ku improve its internal efficiency, not necessarily increasing power tariffs
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kumbe na ww uliumia sana sikujua hvo bro but pole sana nisamehe mm niliokuumizaWewe furahisha watz wenzako but you knw the truth tu![]()
Wewe Kennedy vipi?Wewe furahisha watz wenzako but you knw the truth tu![]()
Ana hasira sana 🤣🤣🤣🤣🤣Wewe Kennedy vipi?
Na isitoshe dodoma tumeanza majuzi juzi tu,wakati ukifika tutaongeaUsiwe na akili ya kitumwa, yn wewe tuusan utakuwa muoga muoga mpk lini, kila mji ukishindanishwa na mji wa nchi yako we unaona huo mji uko vzr kuliko mji wa nchini mwako, akili kama hizi huwa zinafanya watu design yako wawe wanapigwa pesa nyingi kwa kila anachotaka kununua lkn yeye akiuza chake anauza kwa bei ya kutupa mana siku zote anadharau chake kwa mazoea ya kijinga kama hayo yako.
Abuja ni kama Luanda au Nairobi, zote zinafanana tu.
Hii pia ni Abuja, mana wewe umeleta vipicha vya kaeneo kadogo ulinganishe na mji mpya unaopangwa kila angleView attachment 2495436View attachment 2495437View attachment 2495438View attachment 2495439View attachment 2495440View attachment 2495441View attachment 2495442View attachment 2495443View attachment 2495445View attachment 2495446View attachment 2495447View attachment 2495448
Mkituuzia pia tunanunua tu, pesa tunayo. Hata kwa sasa tunanunua umeme kutoka EthiopiaMnazalisha umeme mwingi ila wa bei ghali sana ...
Msihofu tutawauzia wa bei rahisi mpumue kidogo maana mmebanwa Pumbu hadi sio vizur
Kama kuna kitu wakenya huchukulia serious ni right to information. On the same breath, sisi pia hatuogopi kuuliza maswali where certain things don't add up. If Kenyans feel something is amiss they'll push the government or whoever is responsible to the wall until it comes out clean. People literally "bullied" President Uhuru kwa Twitter hadi akatii. Wabongo ni waoga sana no matter serikali yao huwachezea akili itakavyoBroo if people accept to be fooled each time by government, why won't the government take advantage of it? Watanzania rais akisema jump wanauliza how high? not why?
Kenya it's a totally different story, wakenya walipull limits za Jayden adi a whole president akadelete account yake twitter Even though alikuwa the most followed african president on Twitter
Lakini SGR yenyu ni ya Fossil Fuel, kwanini?Mkituuzia pia tunanunua tu, pesa tunayo. Hata kwa sasa tunanunua umeme kutoka Ethiopia