Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndani ya City kunakuwa na milio ya mafisi
Sasa just imagine 690km sq ndani yake kuna nairobi national park ndani yake kuna forest za maana na bado kuna population ya over 5m nairobi ndio hapo unajiuliza kwann slums za dunia zisiwepo nairobi kwa hali hio na hayo mapori ni mali ya politicians🤣🤣
 
Sasa just imagine 690km sq ndani yake kuna nairobi national park ndani yake kuna forest za maana na bado kuna population ya over 5m nairobi ndio hapo unajiuliza kwann slums za dunia zisiwepo nairobi kwa hali hio na hayo mapori ni mali ya politicians
Ndiyo maana mm huwa nakaita ka Nairobi, kamji kadogooo ukiinuka juu kdg tu kila kitu kinaonekana mpk ma slums
 
...................and pigeon coos.
Jina jipya la Nairobi ni City of Hyenas Jungle (COHJ)

Ea9fEKFXsAEEzWf.jpg
 
Kama kuna kitu wakenya huchukulia serious ni right to information. On the same breath, sisi pia hatuogopi kuuliza maswali where certain things don't add up. If Kenyans feel something is amiss they'll push the government or whoever is responsible to the wall until it comes out clean. People literally "bullied" President Uhuru kwa Twitter hadi akatii. Wabongo ni waoga sana no matter serikali yao huwachezea akili itakavyo
Mbona mmekuwa mkihoji kuhusu uchafu na matakataka ya Nairobi kwa muda mrefu tuu Serikali imefanya nini. Uchafu bado uko palepale tuu.
 
Back
Top Bottom