Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Unfortunately mimi sio mtaalamu kwenye hayo mambo, but I'll try to dig in nijue ni kwa niniLakini SGR yenyu ni ya Fossil Fuel, kwanini?
Unfortunately mimi sio mtaalamu kwenye hayo mambo, but I'll try to dig in nijue ni kwa niniLakini SGR yenyu ni ya Fossil Fuel, kwanini?
Sometimes i believe hii jamii forums ime employ some stubborn bongolalas to engage us in an annoying mannerWewe Kennedy vipi?
Bei ya mayai crate tz ni 6800 sawa na ksh360 ila kwao wanauziwa 580 mumaeza ona tofaut ilivo kubwa sana 😆😆😆😆
Mbona unajibu ka ugomvi vile..Mkituuzia pia tunanunua tu, pesa tunayo. Hata kwa sasa tunanunua umeme kutoka Ethiopia
Lakni ni kweli kwamba SGR train zenyu zinatumia mafuta ya Diesel?Unfortunately mimi sio mtaalamu kwenye hayo mambo, but I'll try to dig in nijue ni kwa nini
Sasa unakataa jina lako la Kennedy? Kama hutaki jina hilo unataka jina gani?Sometimes i believe hii jamii forums ime employ some stubborn bongolalas to engage us in an annoying manner
Panafanana na pori la akiba la Maswa mkoani Simiyu.
Panafanana na pori la akiba la Maswa mkoani Simiyu.
Naona vijumba uchafu vingi vimetolewa, hii ubungo itakuwa fire
sn.Nyie msioogopa kuhoji imewasaidia nn? Hamna njaa? Unemployment rate haiko hi? Mmemaliza slums? Hamna ukabila? Hamna magonjwa ya aibu kama kipindupindu na gono? Bora kutohoji serikali lkn mahitaji muhimu mnapata aiseeKama kuna kitu wakenya huchukulia serious ni right to information. On the same breath, sisi pia hatuogopi kuuliza maswali where certain things don't add up. If Kenyans feel something is amiss they'll push the government or whoever is responsible to the wall until it comes out clean. People literally "bullied" President Uhuru kwa Twitter hadi akatii. Wabongo ni waoga sana no matter serikali yao huwachezea akili itakavyo







Kumbe wewe ndiyo KennedySometimes i believe hii jamii forums ime employ some stubborn bongolalas to engage us in an annoying manner






Pori la akiba la Maswa mkoani Simiyu lipo na Nyumba nzuri pia.
A city in the forest.
The trees are taller than the houses hence from certain angles it looks like a thick forest. Heavenly. 😍 😍
A forest in the CityA city in the forest.
Both can work and both are just heavenly. 😍😍😍A forest in the City
Ndani ya City kunakuwa na milio ya mafisiBoth can work and both are just heavenly. 😍😍😍
...................and pigeon coos.Ndani ya City kunakuwa na milio ya mafisi