Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Since mji wa serikali umeanza kutoa taswira.. na kwa ukubwa wake . I'm looking forward to compete it with Abuja Nigeria.. oneni kwanza ninachosema hapa View attachment 2493312View attachment 2493313na. Nikisema mji wa serikali is of the same size to NAIROBI CBD+Eastligh+Park lands combined.. namaanisha hivi.. our gvt City 6 km² View attachment 2493314vs 7km² areaView attachment 2493316.. oya wewe mwathadan. Lete mkun*** wako hapo .. ujionee mana ulinitukana wewe.. note: All the area of gvt city is planned unlike hiyo takataka yenu..
Umewapiga kweli kweli, Dodoma inawaumiza sana
 
Alaf chuo kina 13 yrs sasa jpm alikuwepo kwenye urais 13yrs ago 🤣🤣🤣
Yaani unaambiwa chuo kina miaka (13) kumi na tatu bila mwanafunzi, meaning kilikua kimekamilika miaka (13) kumi na tatu iliyopita bila kuregister mwanafumzi hata mmoja.

Inawezekana Magufuli hakukipa hicho chuo hela za kujiendesha kufuatana na huilo group, sasa Magufuli miaka (5) mitano, je hiyo miaka (8) nane nani alikua rais?
 
Umewapiga kweli kweli, Dodoma inawaumiza sana
Dom ni balaa kaka.. yani mji wa serikali pekee uko na eneo lenye ukubwa karibu sawa na Posta+Upanga+Kariakoo and mind you mji wote wa serikali ni smart City, green, organized, uko na wide roads modern infrastructure all around.. cyclist lanes, pedestrians walk ways mji mzima .. Yo ni kitu unatakiwa uogope mzee kwa standard za miji ya Africa ya mashariki
 
Ndio maana nikasema hivi vimiji vya Afrika mashariki vina kazi kubwa kuja ku level na Dodoma hapo mbeleni, JPM alifanya kazi nzuri sana kubadili maandishi kuwa uhalisia.
 
Ndio maana nikasema hivi vimiji vya Afrika mashariki vina kazi kubwa kuja ku level na Dodoma hapo mbeleni, JPM alifanya kazi nzuri sana kubadili maandishi kuwa uhalisia.
Mind you, huo ni mji wa serikali tu ndio tunazungumzia hapa .. wala hatujataja maeneo kunakojengwa taasisi za serikali, uwekezaji wa biashara n.k yani this place 👇
Screenshot (219).png
its by the way some few km from our Gvt city.. hii nayo ni kando ya kale ka CBD kao ka zamani .. this one 👇
dodoma-pic-data.jpg
.. DODOMA imegawanyika vizur mno
 
Alikuta chuo kinajengwa akakataa kutoa fedha za uendeshaji! Ila akawa busy kujenga vyuo Chato!
Magufuli kafariki March/2021, WB preliminary loan release paperwork ya university inatoka may/2021

Hizo pesa Magufuli alizokataa kutoa ni zipi?
Acha chuki za kipumbavu, unamchukia Magufuli utafikiri alikuibia mke!
Screenshot_20230123-222943.png
Screenshot_20230123-222926.png
 
Magufuli kafariki March/2021, WB preliminary loan release paperwork ya university inatoka may/2021

Hizo pesa Magufuli alizokataa kutoa ni zipi?
Acha chuki za kipumbavu, unamchukia Magufuli utafikiri alikuibia mke!
View attachment 2493404View attachment 2493405
Lakini ninavyokumbuka mimi WB walizuia fedha za elimu kwa Tanzania baada ya Magufuli kupinga pregnant girls wasirudi shuleni na pia kuhusi ile sheria ya statistics hivyo inawezekana miradi mingi ya elimu ilisimama kwa kukosa fedha lakini Mama alikuja kuokoa jahazi kwa kulegeza msimamo na hela ikatoka.

This is my observation nothing personal and I stand to be corrected.
 
woyoooooooooooooooooooo mistariiiii ni mikaliiiii kinomaaaa viva BONGO MUSIC i love tz
Skia hip-hop ya new generation. Hii ni dis track yake Dizasta Vina kwenda kwa Rapcha.. skia stanza zilivyopangiliwa humo ndani.. complexity of this music kwa mkenya itambidi akae na kamusi ya kiswahili kuelewa nini kimeimbwa.. enjoy 👇.
 
Since mji wa serikali umeanza kutoa taswira.. na kwa ukubwa wake . I'm looking forward to compete it with Abuja Nigeria.. oneni kwanza ninachosema hapa View attachment 2493312View attachment 2493313na. Nikisema mji wa serikali is of the same size to NAIROBI CBD+Eastligh+Park lands combined.. namaanisha hivi.. our gvt City 6 km² View attachment 2493314vs 7km² areaView attachment 2493316.. oya wewe mwathadan. Lete mkun*** wako hapo .. ujionee mana ulinitukana wewe.. note: All the area of gvt city is planned unlike hiyo takataka yenu..
We ni wa kupuuzwa tu
 
Lakini ninavyokumbuka mimi WB walizuia fedha za elimu kwa Tanzania baada ya Magufuli kupinga pregnant girls wasirudi shuleni na pia kuhusi ile sheria ya statistics hivyo inawezekana miradi mingi ya elimu ilisimama kwa kukosa fedha lakini Mama alikuja kuokoa jahazi kwa kulegeza msimamo na hela ikatoka.

This is my observation nothing personal and I stand to be corrected.
Haya mambo ya Magufuli hivi Magufuli vile tuachane nayo, ukweli utabaki palepale kwamba jamaa ametupa nguvu ya kutamba humu la sivyo Wakenya walikuwa wanatupiga asubuhi kweupeee, miaka nenda rudi walikuwa wanatutukana kwamba linchi kubwa na lina kila kitu lkn mazembe ya Tz yamekaa tuu, na huo ndio ulikuwa ukweli tukubali tukatatae.

Leo hii Wakenya tumewaacha mbali kwenye maendeleo, wamebaki na paper GDP ambayo nayo tunakwenda kuifutilia mbali. Magufuli alibadilisha maandishi kuwa uhalisia, Dodoma ilikuwa kwenye makaratasi, electrifitried SGR ilikuwa kwenye makaratasi, barabara nyingi mpk za mitaani zilikuwa kwenye makaratasi, masoko, ferries, terminals, flyovers karibu vyote vilibaki kwenye makaratasi jamaa akavibadili kuwa ukweli na ilibidi wapigaji wengi wamchukie ili leo tujivunie, tutoke kwenye matusi tuliyokuwa tunastahili kutukanwa.

So tumuache apumzike kwn tumefaidi kodi za wananchi zilizotumika kumsomesha, ila kama bado kuna watu wanaendelea kumtukana hii battle itachafuka mm nawaambia mana wengine sisi akitukanwa Magufuli tunaona kama tumetukaniwa wazazi wetu, me nasema patanuka humu ndani na hii battle itaharibika kabisa.
 
Yani mm mtu akimsema vby JPM ananichanganya sn ata kama ni rafiki yangu naanza kumkataa pole pole akizidi ujue namkataa kabisa, hii battle ni baina ya Tz na Kenya lkn kuna Watz wana kimbele mbele kujifanya wajuaji wa kila kitu, kwani Wakenya hawana viongozi wabovu? Mbona wameachana na hayo wanaendeleza battle, watu wanakuwa kama hawajaenda shule bhn, mwishowe nitaanza kuamini ni kweli Wakenya wanatuzidi akili maana hawatoki nje ya battle, wao na nchi yao tu kwenye hii battle licha ya dhiki kubwa waliyonayo na maovu mengi wanayotendewa na viongozi wao lkn wanajua sehemu ya kuyaongelea.
 
Inabidi soon ipigwe tower moja outstanding hapo CBD au Mitaa ya Victoria kama ya 60 flr au 250meter plus tower

Anayejenga abase na residential , plus hotel ndo atapata watu sana , office space sio sana
In Kenya we already have it
 
Back
Top Bottom