Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
So which city is better?
So which city is better?
Picha zako zimeisha. Mimi nataka tuende kimoja kimoja.Kichapo Cha jibwa Koko, amekimbia anatafuta pakutokea, komea huko siku nyingine usijaribu🤣🤣😜😜💪💪🔥🔥🔥
Juzi nimepita hapa usiku, ebwana ni patamu balaa. Na yale mataa yanavyo waka ni noma!!
Stretch ya barabara kutoka kivukoni hadi Kibaha ambayo ina BRT plus Highway yenye urefu 40Km Hii pekee inajibiwa na barabara gani hapo Mombasa?...So which city is better?
Kazi rahisi hatuhitaji kupoteza mda..,Picha zako zimeisha. Mimi nataka tuende kimoja kimoja.
Tunaanzia kwenye nini?
1. Three Levels Interchanges
2. SGR
3. BRT
4. Sidewalk
5. Bridges
Haya sasa nakusubiri
Komaa tu hapo Dar.., jiliwaze ukichoka nenda vijiweni ukahadithie makapuku wenzako, maboya na mazezeta, kazi yako nimemaliza, hauna ushawishi wowote kwangu kamwe 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Kazi rahisi hatuhitaji kupoteza mda..,
1 Three level interchanges: Tanzania 1 Kenya 6., (Museum Hill, Southern Bypass, South B/south c crossing, another off Mlolongo at expressway, Pangani, Changamwe interchange, Mombasa)..,
2. SGR: working SGR. Tanzania 0(U/C). Kenya 1 ( 553KM Mombasa to Naivasha ICD)
3. BRT Tanzania 1 Kenya 0.
4. Sidewalk.., (relative)
5. Bridges: Both have, designs ndio tofauti.
ujinga niondolee kilaza.., unajaribu kuweka kile unadhani uko na advantage, nyambaff.
Three Levels Interchange iko wapi?Komaa tu hapo Dar.., jiliwaze ukichoka nenda vijiweni ukahadithie makapuku wenzako, maboya na mazezeta, kazi yako nimemaliza, hauna ushawishi wowote kwangu kamwe 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
👆👆👆 kazi kwisha, jipe shughliKomaa tu hapo Dar.., jiliwaze ukichoka nenda vijiweni ukahadithie makapuku wenzako, maboya na mazezeta, kazi yako nimemaliza, hauna ushawishi wowote kwangu kamwe 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Tuoneshe Three Levels Interchange. Hatutaki maneno mdogo wangu. Weka naweka.
Kwahiyo umegoma kutuonesha Three Levels Interchange from Kenya, au hakuna umeona aibu?👆👆👆 kazi kwisha, jipe shughli
👆 👆 👆 unajaribu kujitia hamnzao wazi wazi boya., potelea mbali, nimekunyonga kabisa hauna pumzi kamwe.., wenzako wanakungoja vijiweni boya 😂😂😂😂😂Komaa tu hapo Dar.., jiliwaze ukichoka nenda vijiweni ukahadithie makapuku wenzako, maboya na mazezeta, kazi yako nimemaliza, hauna ushawishi wowote kwangu kamwe 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Kwahiyo umegoma kutuonesha Three Levels Interchange from Kenya, au hakuna umeona aibu?
Sema tu mdogo wangu hakuna wa kukucheka.
Kwahiyo Kenya hakuna Three Levels Interchange?👆 👆 👆 unajaribu kujitia hamnzao wazi wazi boya., potelea mbali, nimekunyonga kabisa hauna pumzi kamwe.., wenzako wanakungoja vijiweni boya 😂😂😂😂😂
Umefinywa penyewe, inauma ila vumilia., hiyo msalaba ni "vilima na bichi kidimbwi" boya., pumzi kwisha, mwaga povu kabisaa 😂 😂 😂 😂 😂 💪 💪 💪 💪 💪Kwahiyo Kenya hakuna Three Levels Interchange?
KAMA HII
![]()
Nakuona umeshindwa. Pole Maana huko Kundustan hakuna vitu vizuri kama hikiUmefinywa penyewe, inauma ila vumilia., hiyo msalaba ni "vilima na bichi kidimbwi" boya., pumzi kwisha, mwaga povu kabisaa 😂 😂 😂 😂 😂 💪 💪 💪 💪 💪
View attachment 2493058
Sawa boya, Kenya hakuna vilima na bichi kidimbwi hapo tumekubaliana, pumzika sasa 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Makuona umeshindwa. Pole Maana huko Kundustan hakuna vitu vizuri kama hiki
![]()
Sema hivi Kenya hakuna Three Levels InterchangesSawa boya, Kenya hakuna vilima na bichi kidimbwi hapo tumekubaliana, pumzika sasa 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
👆👆shikilia hapa, wacha kutapatapa..,Sawa boya, Kenya hakuna vilima na bichi kidimbwi hapo tumekubaliana, pumzika sasa 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Sema hivi Kenya hakuna Three Levels Interchanges
Hapa mdogo wangu tunaongelea Three Levels Interchange. Au hujui maana yake nikufundishe?👆👆shikilia hapa, wacha kutapatapa..,
ukishachoka kutapatapa, jibu ni hapa hapa👆 👆Sawa boya, Kenya hakuna vilima na bichi kidimbwi hapo tumekubaliana, pumzika sasa 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Vumilia kitukuu, inauma ila utapoa tu😂😂😂😂😂😂😂😂..,Hapa mdogo wangu tunaongelea Three Levels Interchange. Au hujui maana yake nikufundishe?