Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_20230123_210059.jpg
 
Alikuta chuo kinajengwa akakataa kutoa fedha za uendeshaji! Ila akawa busy kujenga vyuo Chato!
Chuo hakina wanafunzi tangu 2010 kaka.
Mbona kina samia wanakopa wanapeleka zanzibar afu tunalipa bara. Nao ni upuuzi bro.
Kikwete kijana WAKE alidakwa china alikuwa na ngada. Jk akafidia kukamatwa kwa mwanae kupigwa ujenzi wa Bomba la gesi nusu ya ele zililiwa na china. Vipi hio.
 
Since mji wa serikali umeanza kutoa taswira.. na kwa ukubwa wake . I'm looking forward to compete it with Abuja Nigeria.. oneni kwanza ninachosema hapa 👇
Screenshot_20230118-194052_1.jpg
Screenshot_20230118-194130_1.jpg
na. Nikisema mji wa serikali is of the same size to NAIROBI CBD+Eastligh+Park lands combined.. namaanisha hivi.. 👇our gvt City 6 km²
Screenshot_20230123-153145.png
vs 👇7km² area
Screenshot_20230123-160654.png
.. oya wewe mwathadan. Lete mkun*** wako hapo .. ujionee mana ulinitukana wewe.. note: All the area of gvt city is planned unlike hiyo takataka yenu..
 
Umeona BRT hiyo bado inachangia barabara kabla njia yake katikati haijarasimishwa. Kuna mkundustan anasema BRT ya Dar ni one Direction [emoji23]. Hii picha impe salamu.
Hapo katikati itakuwa BRT au ndio barabara ya kulipia?
 
Chuo hakina wanafunzi tangu 2010 kaka.
Mbona kina samia wanakopa wanapeleka zanzibar afu tunalipa bara. Nao ni upuuzi bro.
Kikwete kijana WAKE alidakwa china alikuwa na ngada. Jk akafidia kukamatwa kwa mwanae kupigwa ujenzi wa Bomba la gesi nusu ya ele zililiwa na china. Vipi hio.
Sukuma gang wameguswa 😁😁😁😁😁😁
 
Alikuta chuo kinajengwa akakataa kutoa fedha za uendeshaji! Ila akawa busy kujenga vyuo Chato!
Alikuta chuo kinajengwa aka kataa kutoa fedha za uendeshaji.

Hicho chuo kilianza kujengwa na kuisha mwaka gani mpaka kiwe na miaka 13 bila wanafunzi?

Vyuo vingapi vilijengwa chato ndani ya miaka yake mitano?
 
Back
Top Bottom