Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It is not under construction yet.., yaani bado ujenzi haujaanza, sio kale kenu ka 300km ujenzi ulianza April 2017, hadi wa leo hamjatumia SGR train.., jiangalie mlivyo., ukianza kitu unakamilisha kwa wakati., narudia, omba sana msife kabla ya kutumia ama kushuhudia SGR nchini kwenu..,
Sgr yenu ni mombasa to malaba na mpaka leo haijafika malaba mnatia huruma na hakuna nafasi tena ya kuifikisha malaba tumeshachukua Uganda na kumweka mfukoni.

Hiyo ndio inaitwa economic diplomacy sera ya nje Tz .
 
Stretch ya barabara kutoka kivukoni hadi Kibaha ambayo ina BRT plus Highway yenye urefu 40Km Hii pekee inajibiwa na barabara gani hapo Mombasa?...
Barabara ya Kilwa nayo Ina BRT 20KMS flyovers 2
Sina haja ya kutaja barabara zingine kwanza niambie stretch ya maana hapo Mombasa ya kujibu mapigo kwanza

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Mbona unaua inzi kwa rungu mkuu unampa barabara kuubwa mpe barabara ndogo tuu kama Sam Nujoma uone atakavyokimbia.
 
Project hii iliishia wapi?

BRT-Lanes.jpg
Hawa watu ni washamba sana hapo walipaswa kuandika Bus lane na sio BRT. Akili zao ni za kuigaiga vitu vya walioendelea tuu
 
Dar, Nairobi, Mwanza, Kigali, Kampala yote hiyo ni miji ya kale haiko organized, ni miji ya hovyo tu linapokuja suala la mpangilio wa mji. Dodoma inakuja kuikomboa EA na cc tuonekane wastaarabu.
Mwanzoni nilikua na admire kale ka CBD ka kigali the way kalivyo green and somehow planned lakini kuanzia gvt city ilivyo anza ku take shop saivi I'm looking forward to compete DOM to Abuja Nigeria .. kitu usichokijua ni kwamba DOM government is of the size to NAIROBI CBD+Eastligh+park lands combined
 
Mwanzoni nilikua na admire kale ka CBD ka kigali the way kalivyo green and somehow planned lakini kuanzia gvt city ilivyo anza ku take shop saivi I'm looking forward to compete DOM to Abuja Nigeria .. kitu usichokijua ni kwamba DOM government is of the size to NAIROBI CBD+Eastligh+park lands combined
JF imejaa tu machizi
 
Wacha tulinganishe a technical college msalaba project vs Museum Hill interchange 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Etsk4KlXMAYhmyg

View attachment 2493026
ama Southern Bypass interchange
View attachment 2493028
Wacha kujitia umuhim we mpumbavu hiyo interchange yenu inaizid nini Jonh kijazi interchange.? Au ni hayo maduara duara.? 🤣🤣.. ground level ya kijazi interchange there are two bridges .. kwanza ni six lanes interchange (one and only in EA) .. 👇
mydaressalaam_1641946306985355.jpg
dodoma_zone__1614878744770344.jpg
dodoma_zone__161487874477047.jpg
.. we mpuuzi ujaribu kuwa na adabu wewe..
 
Back
Top Bottom