Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mambo ya zamani sn haya mkuu.
Kalilie kwa choo, ni Mombasa bado..,
1674474002864-png.2492632

1674474447655.png

1674474458118.png
 
Sioni Tanzania ikipata mpinzani Kwenye muziki ukanda huu.

Skia hip-hop ya new generation. Hii ni dis track yake Dizasta Vina kwenda kwa Rapcha.. skia stanza zilivyopangiliwa humo ndani.. complexity of this music kwa mkenya itambidi akae na kamusi ya kiswahili kuelewa nini kimeimbwa.. enjoy 👇.
 
Naongelea kipande kidogo kimewachukua miaka tano, sasa mnaingia wa sita, wacha kujitoa ufahamu mjukuu, mko hovyo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] ...,
Kipande kdg vp hueleweki, kutoka Dar mpk Mwanza ni kipande kdg? Hapo zinaingia Kenya tatu mzee.
 
Bati zenye rangi ya kijani mpauko ni Ihumwa.
The place is developing so fast.. ni bonge la mtaa. Mmh mbona kama DAR itaachwa mbali sana na DODOMA in less than 5 years to come likija suala la mpangilio wa mji na makazi bora .. Kwasasa Mwanza na ARUSHA zinazidi DOM labda kwa CBD tu sio makazi ya watu naweza kusema hivyo pasi na shaka tena
 
Sema nini wadau kama SGR ingekua ni kutengeneza tu hizi tracks . Tungeshapanda hizo treni zamani sana.. 👇
Kenya-Railways-SGR-Train.jpg
kwasababu kàzi ya kutengeneza hizi empty tracks iliisha kitambo sana, and those scrap metal locomotives ar cheaply available in China tungeshanunua tukaweka.. but heb ona this complexity 👇
Screenshot_20220527-234639.jpg
Screenshot_20220527-234622.jpg
Screenshot_20220527-234551.jpg
hapo ni mifumo kibao imewekwa na imehakikishwa utendaji wake since the speed limit ni high 160/hr sio kitoto+ uagize locomotives mpyaa zitembee juu ya hii facility .. yo the job done ni heavy manzee .. hao jamaa wakikunya wakae kwakutulia. Hawawezi linganisha kamwe SGR yetu na huo upuuzi wao a.ka upgraded MGR
 
Skia hip-hop ya new generation. Hii ni dis track yake Dizasta Vina kwenda kwa Rapcha.. skia stanza zilivyopangiliwa humo ndani.. complexity of this music kwa mkenya itambidi akae na kamusi ya kiswahili kuelewa nini kimeimbwa.. enjoy [emoji116].
Ebhn huyu Dizasta Vina ni mwanangu sn alafu namkubali sana, nmesikiliza ngoma yote, oya uyu jamaa anajua sn.
 
Leo hii wewe umepanda SGR kutoka Dar to Morogoro? nyambaff [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaweza kupanda SGR mbwa wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
The place is developing so fast.. ni bonge la mtaa. Mmh mbona kama DAR itaachwa mbali sana na DODOMA in less than 5 years to come likija suala la mpangilio wa mji na makazi bora .. Kwasasa Mwanza na ARUSHA zinazidi DOM labda kwa CBD tu sio makazi ya watu naweza kusema hivyo pasi na shaka tena

Arusha na Mwanza zimeizidi Dom kwa CBD tu ila Kwenye makazi na mpangilio Dom ipo mbali.
Hapo tenga siku na muda uzunguke mitaa ya Dodoma, kuna sehemu zimejengwa kuliko hiyo Ihumwa.

Kila wiki nakuja Dom nakaa siku mbili hadi tatu ila nimefanikiwa kuzunguka kidogo japo natamani sana nisiwe natoka Dom.
Haya mambo ya Leo Dar kesho Dom kesho mkoa mwingine yanakera. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaweza kupanda SGR mbwa wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ameumia, chunga usife kabla haujapanda, bladfwakin kabisaa 😝 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 💪 💪
 
The place is developing so fast.. ni bonge la mtaa. Mmh mbona kama DAR itaachwa mbali sana na DODOMA in less than 5 years to come likija suala la mpangilio wa mji na makazi bora .. Kwasasa Mwanza na ARUSHA zinazidi DOM labda kwa CBD tu sio makazi ya watu naweza kusema hivyo pasi na shaka tena
Dar, Nairobi, Mwanza, Kigali, Kampala yote hiyo ni miji ya kale haiko organized, ni miji ya hovyo tu linapokuja suala la mpangilio wa mji. Dodoma inakuja kuikomboa EA na cc tuonekane wastaarabu.
 
Ameumia, chunga usife kabla haujapanda, bladfwakin kabisaa [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji123] [emoji123]
Huyu atajinyea [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom