BlietzKrieg
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,034
- 2,523
Thickness ya layer Moja ya lami!
Lamii inafaa kuwa na 3 layers.
Thickness ya layer Moja ya lami!
Pole hakuna Three levels interchange huko kenya. Sasa tuongelee BRT. Ipo huko au hakuna?ukishachoka kutapatapa, jibu ni hapa hapa👆 👆
Vumilia kitukuu, inauma ila utapoa tu😂😂😂😂😂😂😂😂..,
View attachment 2493089
ujinga baki nayo wewe, jibu hapa👆 👆 👆 👆 .,Kazi rahisi hatuhitaji kupoteza mda..,
1 Three level interchanges: Tanzania 1 Kenya 6., (Museum Hill, Southern Bypass, South B/south c crossing, another off Mlolongo at expressway, Pangani, Changamwe interchange, Mombasa)..,
2. SGR: working SGR. Tanzania 0(U/C). Kenya 1 ( 553KM Mombasa to Naivasha ICD)
3. BRT Tanzania 1 Kenya 0.
4. Sidewalk.., (relative)
5. Bridges: Both have, designs ndio tofauti.
ujinga niondolee kilaza.., unajaribu kuweka kile unadhani uko na advantage, nyambaff.
three level tulimailza👇👇.., pumzika.,Pole hakuna Three levels interchange huko kenya. Sasa tuongelee BRT. Ipo huko au hakuna?
Sawa boya, Kenya hakuna vilima na bichi kidimbwi hapo tumekubaliana, pumzika sasa 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Project hii iliishia wapi?ujinga baki nayo wewe, jibu hapa👆 👆 👆 👆 .,
three level tulimailza👇👇.., pumzika.,
Majibu yote hayo ninayokupa huelewi tu mdogo wangu!!! Au umeanza kuwa mbumbumbu?
Basi hata hili la chekechea nalo hutaweza?
![]()
Huku acha kabisa usiguse nitakunyoa ndevu kwa kutumia vipande vya chupa. Nakusihii usiguse huku. Nimechafukwa mno.
We taahira kweli100%. Mombasa has better roads than any other city in East and Central Africa except Nairobi
EM Nioneshe kutoka KenyaThickness ya layer Moja ya lami!
Lamii inafaa kuwa na 3 layers.
Mim kama mbongo, kama nisingeona hilo bus la BRT ningesema hapo sio bongo 😎😀Angalieni taratibu watu wasije wakaingiwa na woga.
![]()
Angalieni taratibu watu wasije wakaingiwa na woga.
![]()
. Hii picha impe salamu.Gari inaharibu pesa za serikali?
Unapiga mtu mpaka anahepa tu roho safi 😂😂Kichapo Cha jibwa Koko, amekimbia anatafuta pakutokea, komea huko siku nyingine usijaribu🤣🤣😜😜💪💪🔥🔥🔥
Umekuja tena mzee Trade Mark ya VISIT. Kama unataka uendelee na account hii kwa ustarabu usiongee shit na uongo mbele yangu. Waulize wenzakoUnapiga mtu mpaka anahepa tu roho safi 😂😂
Unatishia nani kijanaUmekuja tena mzee Trade Mark ya VISIT. Kama unataka uendelee na account hii kwa ustarabu usiongee shit na uongo mbele yangu. Waulize wenzako
Sasa kwanini unafananisha Nike na neno Visit. Au njaa inakusumbua?Unatishia nani kijana
You really think niko na time ya kukufunza trademarks na originality?
Ujinga ndio mingi, nionyeshe mahali nilisema hivoSasa kwanini unafananisha Nike na neno Visit. Au njaa inakusumbua?
Unajisahaulisha siyo? Kwanini unalalamika ukiona kitu kama hiki?Ujinga ndio mingi, nionyeshe mahali nilisema hivo
Unajisahaulisha siyo? Kwanini unalalamika ukiona kitu kama hiki?
View attachment 2493142
Nimekuuliza nikutumie mzigo huu?Unajua slogan ya Nike kweli? Tuanzia hapo