President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,770
- 89,793
Hamtokaa mpate bridges kama hizi Kundustan. Niiteni mbwa nimekaa paleeeeee
Umeishiwa sera mdogo wangu. Huko tulishatoka miaka mingi mno. Tafuta picha za 2023 achana na hiyo 2012 ilishapita.They say that the internet never forgets. Kumbe 2012 mlikuwa hadi na brt hapo jiji la uswazi? 😂😂View attachment 2491461View attachment 2491462View attachment 2491463View attachment 2491464
Slums all around? You mean these ones?Yuko sahihi kabisa Luanda na ka Nairobi ni baba moja, zote zina a very small built up area with slums around.
Aliyeishiwa ni wewe mwenye huna jibu, ulichobakisha ni kutapatapa tu. Nimekuuliza hivi: 2012 mlikuwa na brt? Ndio au laUmeishiwa sera mdogo wangu. Huko tulishatoka miaka mingi mno. Tafuta picha za 2023 achana na hiyo 2012 ilishapita.
Unajichosha mdogo wangu. Slums dunia yaote inajua zipo Kenya. Hii definition yako ni yako pekee
Majibu yote hayo ninayokupa huelewi tu mdogo wangu!!! Au umeanza kuwa mbumbumbu?Aliyeishiwa ni wewe mwenye huna jibu, ulichobakisha ni kutapatapa tu. Nimekuuliza hivi: 2012 mlikuwa na brt? Ndio au la
Wakianza kufumua v2 vya mathare hapa na korogocho hasi uzi unaharibika kia mpole hata nyie mko hovyo tuLuanda ni kama tu hiyo Dar yenu. Hakuna tofauti hapa
Dar View attachment 2491429View attachment 2491430View attachment 2491432View attachment 2491433
Luanda
View attachment 2491445View attachment 2491446View attachment 2491448View attachment 2491449
HiI picha ni Quality sanaHamtokaa mpate bridges kama hizi Kundustan. Niiteni mbwa nimekaa paleeeeee
![]()
![]()
Hakuna slums hapo kaka, nyie na Luanda ni the same kama alivyosema ndugu yako, we nioneshe slums kama za Luanda alafu mm nitakuonesha za ka Nairobi zinazofanana na Luanda.
Kweli kabisa.Nairobi is already on the same level as Luanda.
Luanda looks better than thisLuanda ni kama tu hiyo Dar yenu. Hakuna tofauti hapa
Dar View attachment 2491429View attachment 2491430View attachment 2491432View attachment 2491433
Luanda
View attachment 2491445View attachment 2491446View attachment 2491448View attachment 2491449
Dodoma haijakamilika tuliza papara! Mbona pupa? Jiulize je inaweza ku-host a global event? The answer is no at the moment few hotel accomodations r being built!Serikali imepambana kupainua Dodoma sasa wapige msasa kwemye miji mingine kama Mbeya na Tanga
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app











Sasa kama ni jangwa mbona wanajitapa kuongoza kwenye uzalichaji wa mazao ya biashara kama: Parachichi, Chai, Kahawa, maua, Mirungi?Sio kuuza mahindi nchi zote hizo tu bali kuuza mahindi nchi zote hizo kipindi cha ukame wa kutisha bila muuzaji mwenyewe kuadhirika! Kunyaland wanasema wao ni jangwa hawawezi kupata chakula lakini Tanzania imeweza kuuza chakula kingi wakati wa ukame uliokumba ukanda wote!