Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bajeti ya Kenya ni kama bajeti ya harusi za Kibongo, unakuta wanakamati wanaweka bajeti ya harusi ya 30M alafu mwisho wa siku wanakusanya 9M alafu wanaanza kusmash luxuries, utasikia jamani hapa cha msingi bora kijana wetu aoe……[emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Kilimo na ufugaji ndio kitu pekee kinachoweza kumtoa masikini kwenye umaskini,tuwekeze zaidi humo..Sioni tukichomoka kwenye umaskini bila kukomaa na shamba,tukumbuke watz wengi hawako katika ajira Rasmi

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ni sahihi kilimo ndio dira ya taifa na penyewe tupo vizuri, kilimo cha kisasa kimeongezeka (Mechanized agriculture) lakini pia value addition kwa mazao tunayopata inakuja juu sana, banks kubwa zote Tanzania zina mikopo maalumu kwaajili ya agribusiness projects yenye riba ndogo kuliko mikopo yote na ni ya muda mrefu!

 
Unga ni chakula, na kwa kainchi kadogo ambako zaidi ya nusu yake ni kame tupu na kanakumbwa na kiangazi hata kwenye maeneo machache yenye rotuba, unga lazima uwe mojawapo wa agenda. Jiongeze kidogo ushirikishe ubongo utaelewa.
Hata hivyo licha ya changamoto zote hizi, bado tunawazidi kiuchumi mara mbili.
1674377694939.png
 
Kilimo na ufugaji ndio kitu pekee kinachoweza kumtoa masikini kwenye umaskini,tuwekeze zaidi humo..Sioni tukichomoka kwenye umaskini bila kukomaa na shamba,tukumbuke watz wengi hawako katika ajira Rasmi

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Watanzania tupo vizuri in progress ni hivyo tu watanzania hatuna hulka ya bragging kama hawa wanuka njaa

Project kubwa hii ya mwanamke wa kitanzania, yule mkenya mshenzi aliekua kwenye mission ya kutuharibia parachichi zetu tungempa upenyo angeweka rehani uhai wa hii Multi-billion investment ya mtanzania kwenye horticulture sub-sector

 
Uchumi upi mkuu wa makaratasi ama huu ambao tunaouona na kuuishi huko Kenya?

Ninaouona na kushuhudia, aisei tumetoka mbali, halafu nashangaa kuna miaka tulikua sambamba na Tanzania, leo tumewaacha mara mbili.
 
Mmepitwa na nchi jangwa wafa njaa ninyi mbwa

Mmebaki kuhongana chapati badala ya agenda View attachment 2491125View attachment 2491126

Kwanza hawajatupita maana kachumi kao ka 16b kanaingia kwa uchumi wetu mara sita, ni vile ni wachache atu milioni mbili na madini ya kumwaga, ila nyie wanyonge wetu lijayanti la Afrika mnaingia kwetu mara mbili licha ya madini ya kumwaga.
 
Ninaouona na kushuhudia, aisei tumetoka mbali, halafu nashangaa kuna miaka tulikua sambamba na Tanzania, leo tumewaacha mara mbili.
Karatasi na pen imerahisisha mambo sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hiyo hapo juu ni train ya sgr na hiyo hapo chini ni train ya MGR mbona unachanganya maandazi na vitumbua?

Achana na picha dadavua maelezo, tatizo lenu kutumia ubongo ni shida sana...
 
Back
Top Bottom