Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kidaraja cha 20m unakuja kupiga kelele humu
Umeshawahi kuhisi mnaweza kuwa na kitu kama hiki?

FblJIQMX0AEfDth
Uganda pia wako na cable stayed bridge so wako special ama juu ya Kenya kwasababu ya bridge in Jinja? idiocy!
1674228260540.png

1674228271058.png
 
Sasa mbona pia mnajenga njia ya gari iwe kama footpath?, ya Likoni ni ya watu wa miguu, hiyo ni sawa kabisa.., but hiyo Busisi ukilinganisha na Mwache Mteza ama Makupa, where zote mbili ni double bridge, yenyu itakua tu "footpath" ndefu 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ., konda!!
🤣🤣🤣🤣 Ngoja nikumalize kabisa .. Busisi ni six Lanes bridge na ni cable stayed bridge .. 👇
Screenshot_20230120-183923_1.jpg
EAk4956WsAEpazj(0).jpg
.. Ili mufikie hizi level labda ni miaka 100 ijayo ..🤣🤣🤣
 
Nchi ya City moja, CBD moja, Terminal 3 moja ya maana, alafu uswazi ndio wimbo, pole tafuta size yako, usipandwe na pressure bure dogo, umeanza kuumwa naona, jiondoe mapema wewe, sina huruma mie, utahara humu 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Nchi ya city 1 😂😂😂 lakini kwenye international departure terminal mmejaza cities zetu multiple times
Screenshot_20230119-191049.png
 
Kwahiyo unahisi mimi sijui? Nimekuuliza hizo DMUs za commuter rail zinatoka wapi kuelekea wapi?
Hapa tumewapiga bao, hakuna jibu Dar is slum..., (Nairobi Metro service Train - Commuter)., inafika parts of North, East, West na South ya Nairobi Metro..

SGR station.., (Commuter train to CBD)
1674229548095.png

1674228884289.png


Kahawa Railway Station.., towards Thika (North East of Nairobi).., inaambatana na Thika road..,
1674228929184.png


Syokimau Station..., South East of Nairobi, along Mombasa road
1674229096235.png


Imara Daima Station.., station ya kwanza kabla kufika Syokimau
1674230226333.png

1674230242608.png

Embakasi Station (Upande wa Eastlands)
download-2023-01-20t164801-836-jpeg.2488932


Athi River Station.., baada ya Syokimau
1674229424810.png


Nairobi Central Station boarding bay (CBD)
1674229361953.png


Kikuyu Station (West of Nairobi)
1674230562593.png

1674230666021.png


Ruiru Station.., (baada ya Kahawa Station)
1674230766377.png
 
Back
Top Bottom