Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tz raha sana 🤣 Don YF heb check the longest bridge in East and Central Africa ndani ya Mwanza moja hiyo.. bila kusahau ni daraja la sita kwa urefup Africa nzima 👇.

Hiyo inajibiwa na Mteza Mwache bridge, duol carriage(double) ya Mombasa..,
1674224419654.png


Na usisahau Makupa iliyo kamilika.., so Mwanza bado sana!!!...,
1674224654976.png
 
Nimeskia umenitag kulikonii dogo?, kumbe lift na escalator ndio definition yako ya world class facility eti?.., hizo ziko pia ndani ya malls dogo.., interior design sio maana ya neno "world class" facility kilaza, kuna vigezo vya kufanya Airport iitwe "World Class" zaidi ya interior design, ama cosmetics hehehe ona sasa ulivyo boya😂😂😂😂😂😂😂😂., kumbe unafananisha muonekano wa interior design ya JNIA na JKIA! kisha unataja eti "world class" bladfwakin kabisa wewe😝 😝 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂

Kama Mall tu..,
832hospitality_1627257069002198-jpg.2488958


VS JKIA terminal 1B AND C.., Sama boy 255 mko na terminal zingine JNIA hizi levels kweli?....,
View attachment 2488969
View attachment 2488970
View attachment 2488967
View attachment 2488968
This new terminal inawapa hawa viumbe tumbo joto tangu tuanze kuzipost jana. Na imagine hiyo ni terminals mbili tu!
 
This new terminal inawapa hawa viumbe tumbo joto tangu tuanze kuzipost jana. Na imagine hiyo ni terminals mbili tu!
Hawa wako na kamoja tu..., JNIA banda la kuku 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom