MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,569
- 53,583
Jiandaeni kufutika kabisa kwenye export ya parachichi sababu mnapozitoaga wamewafukuza hawataki kuwaona
Sasa hivi hakuna kingine nakiwaza zaidi ya maparachichi, imekua dili hapa Kenya, nataka nikipata nafasi nishughulke balaa......Sisi Wakenya huwa tunachangamkia fursa, kainchi kadogo tena zaidi ya nusu yake ni kame tupu lakini kamewazidi mara mbili kiuchumi na kila kitu......tatizo lenu laana ya kuua albino ndio imewaponza kwamba hamtoki kwenye umaskini licha ya kuwa na kila kitu.