Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu wanajaza mawe ovyo kwenye mitaro ya maji alaf ukiwaskia sasa nye nye nye sisi tumesoma mpaka mwalim alikimbia darasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2486339View attachment 2486340
Sasa hii ni nn, Kenya bhn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nyenyeyee tuna paid garbage collection company, maninaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
usafi gani iko Dar wakati only 10% of your city residents are connected to the sewer system. Am sure hata wewe nyumba unayoishi hapo uswazini haina sewer connection unatumia choo ya kuchimba
Kakasirika [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nairobi London city in kenya[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1]
Wakenya mmekuwa wanyonge hadi huruma
images.jpg
 
Nina furaha tele nikikuona vile unahangaika kuikomboa Dar na haikomboleki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], huyu Murundi anaonyesha vile wewe ni biased, unapekua pekua za kutuma, yeye ametembea randomly kwanza huu mwezi tu, wivu inakunyonga, ni uchungu kuona Dar kwa Nairobi haitoshi mboga, ni uchungu ila zoea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Siwezi tena ku battle na nyie wapumbavu, nchi yenu yote imejaa matakataka ni washenzi kweli kweli nyie.
 
Wivu itakunyonga bro..., wacha asie kua na wivu akuonyeshe Nairobi, kalilie kwa choo.., [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Developed ya nyoko labda...

Hao wanatafuta views...ila kuhalisia hakuna developed wala development ni uchafu mtupu...

Ni sehemu ndogo sana ya Nairobi kule Uptown ndo pasafi na mayoutuber wengi hupenda hapo...

Kule downtown hata hio mo avenue inayotenga uptown na downtown ni chafu...


Kwengine kote ovyo tu
 
Back
Top Bottom