Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Picha za kutengeneza mtandaoni hata Mogadishu itaonekana kama NY ni sawa na mchezaji mpira umuangalie you tube lazima umuone mkali but ukweli halisi ndio huu hapa au ukatae kwamba hii sio Nairobi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2485415View attachment 2485416View attachment 2485417View attachment 2485418View attachment 2485419View attachment 2485420
Hapajaparara mtaani kwake tu, Imagine hii ni kitu cha moto kabisa tarehe 17 mwezi wa kwanza maka 2023 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Mwanza looks more beautiful than Nairobi[emoji7][emoji7]
Mwanza[emoji1241][emoji1241]
Screenshot_20230118-104634.jpg
Screenshot_20230118-104939.jpg
Screenshot_20230118-105001.jpg
Screenshot_20230118-105112.jpg
Screenshot_20230118-105212.jpg
Screenshot_20230118-105233.jpg
Screenshot_20230118-105324.jpg
Screenshot_20230118-105428.jpg
Screenshot_20230118-105535.jpg
Screenshot_20230118-105626.jpg
 
Club ya Simba SC 🇹🇿 ni club bora no. 7 Africa mpk January, 2023 (club world ranking for 2022).. imeshika no. 107 duniani.
Yanga 🇹🇿 ni no. 19 Africa, no. 199 duniani

IFFHS ni shirikisho la kimataifa linalohusika na historia na takwimu za mpira wa miguu duniani. (International Federation of Football History & Statistics)
 
CBD hio imeshatapika tayar 😆😆😆😆
View attachment 2485885
Uzoaji taka, na kuzi recycle ni hela ndefu tu. Huku kwetu hadi uswahili kila nyumba inatozwa 5000 na taka zinazolewa kila muda, kwenye corpoate areas wanachukua 350,000 au zaidi kukusanya taka na kupeleka eneo husika, kwa Aggressive na Business minded kama wanavyojisifia wanashindwa kupiga hizi hela za wazi? au wananchi cant afford? 🤣 🤣 🤣

12998427_655615611243587_580319939593066846_o.jpg
 
Uzoaji taka, na kuzi recycle ni hela ndefu tu. Huku kwetu hadi uswahili kila nyumba inatozwa 5000 na taka zinazolewa kila muda, kwenye corpoate areas wanachukua 350,000 au zaidi kukusanya taka na kupeleka eneo husika, kwa Aggressive na Business minded kama wanavyojisifia wanashindwa kupiga hizi hela za wazi? au wananchi cant afford? 🤣 🤣 🤣

View attachment 2485897
Sasa gari kama hili linatumia siku ngapi kukusanya taka just imagine 🤣🤣🤣 ikiwa inatembea 1 km kwa siku nzima itamaliza lini
20230118_112310.jpg
 
Uzoaji taka, na kuzi recycle ni hela ndefu tu. Huku kwetu hadi uswahili kila nyumba inatozwa 5000 na taka zinazolewa kila muda, kwenye corpoate areas wanachukua 350,000 au zaidi kukusanya taka na kupeleka eneo husika, kwa Aggressive na Business minded kama wanavyojisifia wanashindwa kupiga hizi hela za wazi? au wananchi cant afford? 🤣 🤣 🤣

View attachment 2485897
Kama una connection huko, hili ni wazo nzuri la biashara, hii ni bonge la deal la kupiga hela 😁
 
Back
Top Bottom