Clover leaf interchange kwa gari 2 tuu only in Kundustan.Danganyika ni LDC huezi elewa umuhimu wa cloverleaf interchange. Dar hamna
[emoji23][emoji23] eldoret inatoa dar kwa interchanges na barabaraClover leaf interchange kwa gari 2 tuu only in Kundustan.
Sawa Ichoboy
Mwenzenu huyoo, Tanzania city ni moja tu 😝 😂 😂 😂 😂 😂 Mombasa ina level🔥🔥🔥🔥,Kama Joburg mwanangu [emoji8][emoji8][emoji1241][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2483529View attachment 2483530
Umegonga ndipo hehe[emoji23][emoji23] eldoret inatoa dar kwa interchanges na barabara
Mambo ya nchi yetu wewe yanakuhusu nini
Mitaani kwenu mjukuu, eti mazingira, kweli unajua maana ya neno mazingira wewe 😂 😂 😂 😂 😂..,Hatuna haja na majengo marefu, sisi tunaweka mazingira safi, sio unakuwa na kajengo katefu lkn mazingira yanayozunguka hako kajengo yanakaa chooni [emoji116][emoji116]View attachment 2483584View attachment 2483585View attachment 2483586
Hizi system hazikufail ila wachina walivyotest A-100 na PHL wakaona PHL ni mzuri zaidi wameamua kuchugua PHL , lakini sio failed systemMzee nimekwambia ondoa mitumbwi. Mambo ya kikubwa unaleta mitumbwi. 🤣 🤣🤺🤺
TPDF ya moto sana
View attachment 1830418
View attachment 1830419
View attachment 1830421
View attachment 1830422
Green viewView attachment 2484122
Mwanza Tanzania [emoji1241]
Video zote umepost sehem hio hio mradi wa mchina au nasema urongoo🤣🤣🤣🤣