The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,529
Mabarabara hayana gari, effects za ukabila hizi "kwanini na cc hatuna "
Mabarabara hayana gari, effects za ukabila hizi "kwanini na cc hatuna "
RIP JPM sisi watanzania tutakukumbuka milele Kila tukiitumia miuundo mbinu ulioisimia kwa zaidi ya nusu ya maisha yako toka ukiwa waziri wa ujenzi
Airbus ni ndege mpya tumalize hili kwanzaMabehewa ya Sgr tuliambiwaje?
Dorge challengerFast and furious in Tanzania View attachment 2483350
😂 😂 😂 😂 😂 imekufaa wewe..,Kwanza wala hamstahili ku battle na sisi wanuka mavi nyie, mpk leo mko na mazingira haya CBDView attachment 2483172View attachment 2483173View attachment 2483174View attachment 2483175View attachment 2483176
Eldoret inatoa Dar kwa barabaraMabarabara hayana gari, effects za ukabila hizi "kwanini na cc hatuna "
Picha la kutisha, tuliwaambia hawa wakundustan kwamba hii miradi ipo siku itakwisha, angalia quality hii kama Joburg mwanangu





















The tallest in Tanzania ni number ngapi East Africa? 🤣Sorry for bursting your bubble hahaha
Hatuna haja na majengo marefu, sisi tunaweka mazingira safi, sio unakuwa na kajengo katefu lkn mazingira yanayozunguka hako kajengo yanakaa chooniThe tallest in Tanzania ni number ngapi East Africa?![]()

