Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 7,595
- 15,506
Aisee hii inaitwa mwana ukome, Wakenya wote tazameni hii video alafu mlie kmy kmy.
Dhambi kubwa.NDINDA Eti hii ndio wanalinganisha na ile city ina ghorofa TATU?[emoji848][emoji28]
Kwa hiyo rangi huzioni au? Hebu acha kupretend. Mji wetu haujapauka kama Nairobi[emoji23][emoji23] Majengo yetu yana rangi nzuri na yanapendeza, nyie yenu yamepauka[emoji38][emoji38]Rangi gani hapa unaongelea kwanzaView attachment 2483138
Same oooold photos.Kwa hiyo rangi huzioni au? Hebu acha kupretend. Mji wetu haujapauka kama Nairobi[emoji23][emoji23] Majengo yetu yana rangi nzuri na yanapendeza, nyie yenu yamepauka[emoji38][emoji38]
Dar es Salaam, Tanzania[emoji8][emoji8][emoji1241][emoji1241]View attachment 2483922View attachment 2483923View attachment 2483924View attachment 2483926View attachment 2483927View attachment 2483928View attachment 2483929View attachment 2483930
Kuna mkunya kasema hivyo vibao vitaibiwa kwenda kuuzwa kama chuma chakavu. Kumbe Tanzania tunajitaidi kwa kutunza vituTanzania, the Kenya's benchmarki
But beautiful [emoji847][emoji847]Same oooold photos.
Eti wanakwambia super highway mavi ya bata 🤣🤣🤣🤣🤣Kama thika ni super highway hii tuiteje?
Nimegundua tunapenda kujifariji sana watu wa ulimwengu wa tatu[emoji2][emoji2]View attachment 2483975
Pini baada ya pini maamaee mpk waseme wanatumia vigezo gani kujilinganisha na sisi.Dodoma ring road now 20%
View attachment 2483971
Hapa interchange ilo porini waku dustan bwana kama ile foot bridge ya Migori kwenye barabara ya vumbi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kapsaret Interchange, Eldoret
![]()
Barabara kama mbele vile.