babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,302
- 35,725
Katika mabalozi ninaowakubali kazi zao ni huyu wa China na yule mwingine wa Uarabuni kule.huyu balozi pamoja na embassy yetu yote huko China wanajitahid sana katika mambo mengi
Sijui kwanini mabalozi wengine hawaigi mfano wa hawa.
Wanajitahidi sana.