Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unahangaika sana chalii 🤣🤣🤣, ona fanya hiv kama nauli ya Ndege ni kubwa panda hata basi upitie Namanga me nitaku host hapa DAR.. mana icho boi sio size yako utakufa bure
Kwa sasa Dar na Tanzania yoote nimeishika penyewe.., nachambua hadi mvunguni mwa vitanda vyenu...,,
1673616332419.png

njooni nyote kwa ujumla muhangaike mtachoka, ukweli unabakia pale pale.., Dar bado sana.., Mombasa na Dar zinatembea pamoja na kukula kwenye meza moja.., zoea mapema usife kwa pressure.., ukweli hambadilishi kwa wivu na chuki zenu..., kaa utulie. 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Dar es salaam

Mombasa.., yaani liko wazi sana!!! 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
 
Kwa sasa Dar na Tanzania yoote nimeishika penyewe.., nachambua hadi mvunguni mwa vitanda vyenu...,,
View attachment 2479597
njooni nyote kwa ujumla muhangaike mtachoka, ukweli unabakia pale pale.., Dar bado sana.., Mombasa na Dar zinatembea pamoja na kukula kwenye meza moja.., zoea mapema usife kwa pressure.., ukweli hambadilishi kwa wivu na chuki zenu..., kaa utulie. 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Dar es salaam

Mombasa..,

Hahahaha 🤣🤣🤣🤣 usije ukanya bure mzee .. Unguja >>> Mombasa
 
Jamaa unaweka picha za zamani mnooo kusema ukweli aisee, no plastic bags in Tz mzee na ndiyo maana unaona mitaa yetu siku hizi misafi.
Haya rudi kwa youtube clips na maoni ya wageni wasio kuwa watanzania ama wakenya utapata jibu...,
 
Back
Top Bottom