Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna mpiga picha East and Central Africa anakaribia level hizi hapa
tapatalk_-859973967_288x512.jpg
tapatalk_-121891589_288x512.jpg
tapatalk_-1133009025_288x512.jpg
tapatalk_390569868_384x512.jpg
 
Tanzania katika hili tunalala, tulitakiwa (behind the scene) 'tumtumie' Yarp Merkez kuwashauri Uganda wajenge ya kupitia Lake Victoria
Au labda Yarp Merkez atatumia hio fursa kujenga hadi Malaba sijui, ili wafanye mchakato wapate fursa ya kujenga upande wa Kenya (either electrified or non electrified)

kwenye hili hatuna influence nalo Uganda nadhani imeona si busara kuweka kila kitu kwenye kapu moja! Nafasi bado ipo tukija kujenga line ya kutoka Isaka kwenda Mtukula still tutagawana mzigo!
 
Nyie ni watu wa kupendezesha macho tuu lakini ndani ni uozo mtupu. At first I thought hiyo ki flyover kimejengwa over mud road inabidi utumie nguvu ya ziada kujua kwamba kuna lami substandard hapo.
Hapo ndio wivu imekufikisha? Nenda uing'oe kaa inakuuma that much!

Wakati flyovers bado ni ndoto kwenye miji yenu mikubwa Kama Arusha na Mwanza, huku kwetu zinajengwa hadi miji midogo Kama Kisii.
images - 2023-01-12T212428.710.jpeg
images - 2023-01-12T212353.457.jpeg


Now I understand mbona mlishangaa kuona mji mdogo kama Migori kuwa na footbridge, kitu ambacho hakipo hata Arusha, your third largest city. Na bado mnaota tuko level moja! 😂😂😂
Number mtazidi kusoma
 
Kuna mji wowote Afrika nzima wenye hufanya fireworks babkubwa kama hizi za Nairobi kweli!? Sina uhakika
 
Hapo ndio wivu imekufikisha? Nenda uing'oe kaa inakuuma that much!

Wakati flyovers bado ni ndoto kwenye miji yenu mikubwa Kama Arusha na Mwanza, huku kwetu zinajengwa hadi miji midogo Kama Kisii.
View attachment 2478575View attachment 2478578

Now I understand mbona mlishangaa kuona mji mdogo kama Migori kuwa na footbridge, kitu ambacho hakipo hata Arusha, your third largest city. Na bado mnaota tuko level moja!
Number mtazidi kusoma
Mabingwa wa low standard.
 
Mabingwa wa low standard.
Afadhali sisi tuko na low standards na ni zetu. Nionyeshe interchange ama flyover ya high standard hapo Mwanza ama Arusha, your second-largest and third-larget cities respectively.

Pipe dream 😂😂😂
 
Back
Top Bottom