Marcelly
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 3,152
- 9,571
Ugonjwa huu husababishwa na kukojoa kwenye maji yaliyotwama
Rahisi naona ni Dar Ulale Tabora kesho uendelee via mpanda au uchukue flight to mpanda then by road to sumbawanga.Kwa Barabara ni mateso aisee,ni aidha uende mpanda au Songwe upande ndege au ukifulia panda bus kwa kuunga ila Moja kwa Moja ni majanga..
Hata Ukiwa n private car unaendesha Hadi kiuno kinaitika.
Hizo infrastructure ni suala la muda zitajengwa kwenye miji uliotaja,Angalia Gdp yetu Vs yenu, Ukuaji wetu wa uchumi utatoa majibu yamambo kama hayo muda sio mrefu...Hapo ndio wivu imekufikisha? Nenda uing'oe kaa inakuuma that much!
Wakati flyovers bado ni ndoto kwenye miji yenu mikubwa Kama Arusha na Mwanza, huku kwetu zinajengwa hadi miji midogo Kama Kisii.
View attachment 2478575View attachment 2478578
Now I understand mbona mlishangaa kuona mji mdogo kama Migori kuwa na footbridge, kitu ambacho hakipo hata Arusha, your third largest city. Na bado mnaota tuko level moja!
Number mtazidi kusoma
Uganda wameangalia value for money na best technology in railways ndio ime inform their decision.kwenye hili hatuna influence nalo Uganda nadhani imeona si busara kuweka kila kitu kwenye kapu moja! Nafasi bado ipo tukija kujenga line ya kutoka Isaka kwenda Mtukula still tutagawana mzigo!
Kama kuna mtanzania nampatianga heshima zake kwenye huu uzi ni wewe. Michango yako hapa haziendeshwi na hisia na wivu kama ilivyo na wenzako. You argue with a lot of maturity and reasoning, which is unlike most Tanzanians here.Hizo infrastructure ni suala la muda zitajengwa kwenye miji uliotaja,Angalia Gdp yetu Vs yenu, Ukuaji wetu wa uchumi utatoa majibu yamambo kama hayo muda sio mrefu...
Hata Dar tulichelewa kupata izo infrastructure sahv tuko na overpass zaidi ya 5,interchange 2 na flyover 4 ndani ya kipindi cha miaka 6 tu from 1 interchange ,zero flyover and zero overpasses
True...they follow our news channels with a lot of dedication utadhani nawatch CNN or BBC 😃😃Tofauti ni sisi hatuangalii station zao so wakitutaja mara nyingi hatuna habari ila wao huwa wamejikaza kwa stesheni zetu wakitajwa tu hivo ndio hao all over. 🤣 🤣
Huh?
Tanzania had long overtaken that fake economy years ago - what is left now are officially supportive data from relevant authorities.Watalaam wenu ndo wanao ongea sio sisi