Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siridhidhwi na uwekezaji mdogo wa pesa kwenye barabara.Hii Nchi ni kubwa na Kila sehemu Kuna uhitaji mkubwa sana wa barabara lakini Kasi ni ndogo.

Nguvu inayotumika ku push sgr na bwawa la Nyerere ingetumika kwenye barabara Leo hii tungekuwa tunazungumzia uchumi unaokua kwa zaidi ya 10%.

But unfortunately kwa mwaka zinajengwa km chini ya 500 za lami za barabara kuu,za Tarura hasa Vijijini hata km 30 hazifiki.
Pesa inayotengwa kwa ajili ya kukarabati na kujenga barabara kwa kiwango cha lami ni kweli kwa mwaka mkoja haitoshi, izo 500km ni mfuko wa barabara tu,lakini kuna miradi ya mikopo kama ule wa barabara ya masasi mtwara kipande cha mvinata 160Km ambazo walichukua pesa Bank ya maendeleo africa,
Kuna miradi kama ya Tengeru moshi holili upanuzi wa barabara kua njia nne hela za mjapan,kuna miradi ya mwendokasi kutoka washirika,outer ring ya dodoma na miradi kadhaa ambayo haijatengewa fedha za ndani...

Ukijumlisha miradi inayoendelea kutekelezwa ni zaidi ya 1700Kms znajengwa kwa sasa kwa kiwango cha lami
 
Kwa taarifa Yako ,ziwe za mkopo au sio za mkopo,haizidi km 500 kwa mwaka huko TanRoads.
Mfumo wa Bajeti unahusish pesa zote za ndani na Nje,hatuwezi endelea kwa namba hii.

Inatakiwa walau tujenge km 2000 kwa mwaka ,km 1000 za TanRoads na km 1000 za Tarura.Sekta ya Barabara inatakiwa kupewa kuanzia Til.3 ndio tutaona mabadiliko ya msingi.
 
Hivi sehem kama hio hakuna blocks katikat nan anapanda hilo daraja kuvuka barabara? Huku kwetu hilo daraja ni white elephant 😅.. pale mbez kwenyew katikat kuna fense na bado watu hawataki kupanda juu
Na hiyo ni kijiji cha Migori, vijiji vyenu vina foot bridge kweli? hehehe..,
 
Uchumi hauruhusu blaza
 
Kwa walipa kodi 3M kwa wananchi 61M huoni Gap ni kubwa sana?
 
Uchumi hauruhusu blaza
Unaruhusu ni ku adjust tuu vipaombele vya serikali,mfano kupunguza na kuunganisha utitiri wa mataasisi ya serikali mfano Sido,Tirdo,brella,TanTrade,tfs nk

Kupunguza na kuunganisha Wizara,

Kupunguza manunuzi ya serikali hususani kwenye magari,mafuta na vipuri mfano TanRoads unakuta Meneja ana magari Yale Prado TX ma 3 au zaidi na hapa na ushahidi sio hadithi,

Mwisho kuongeza WiGo wa walipa Kodi,Tanzania watu wengi hawalipi Kodi stahiki achilia mbali kudai na kutoa risiti..

Pesa zipo ila kubembelezana na mipango isiyoeleweka na mathmizi ya hovyo ndio mengi.
 
Na hiyo ni kijiji cha Migori, vijiji vyenu vina foot bridge kweli? hehehe..,
Sasa kwann tujenge na havina maana? Footbridges ni kwa sehem ya mkusanyiko mkubwa wa watu na magari mengi yanapita hapo kwa kasi.. huko kwenu watu wanaangalia kupiga hela tu za burebure kwa kujenga 🐘 projects
 
Hivi sehem kama hio hakuna blocks katikat nan anapanda hilo daraja kuvuka barabara? Huku kwetu hilo daraja ni white elephant 😅.. pale mbez kwenyew katikat kuna fense na bado watu hawataki kupanda juu
Huwa wanaweka vitu ili kufurahisha macho lkn sio kwa mahitaji, hawa watu hawahitaji chochote kwa sasa huko kwao zaidi ya elimu. Wakenya wanahitaji elimu na unga kwanza kabla ya chochote.
Hiyo footbridge haikujengwa hapo ili kurembesha macho Mibongolala. Iliwekwa hapa kwa minajili ya watoto wa shule ya msingi iliyopo on the right of that pic. Migori primary school has a very high pupil population (there's a time it had the highest number of pupils in the whole country) na kila siku inalazimisha polisi kusimamisha magari on both sides of the road watoto wanapotoka shuleni ili kuepuka ajali. Hii huwa inachangia foleni na saa zingine hata ajali in that junction. The county government the deemed it right to put up the footbridge ili kuepusha ajali kwa hao watoto wa shule. Lakini kwa macho za mitanzania zilizojaa wivu na chuki, it's a show off and white elephant! I pity you guys.

Just because you don't have many of such infrastructure in your country shouldn't make you feel bad about others who have them. Dar ni jiji la watu milioni sita na footbridges hazifiki hata 20 the entire city. Je, a city of such high population unataka kutuambia haina mahitaji ya footbridges? Cut that crap!

Wakati hata your third largest town bado haina ndoto ya kuwa na footbridge, huku kwetu hadi miji midogo Kama Migori ziko nazo. Just shows how worlds apart Kenya and Tanzania are. Mtakufa kwa wivu nyie mibongolala!
 
Sasa kwann tujenge na havina maana? Footbridges ni kwa sehem ya mkusanyiko mkubwa wa watu na magari mengi yanapita hapo kwa kasi.. huko kwenu watu wanaangalia kupiga hela tu za burebure kwa kujenga 🐘 projects
Yaani si ungechunguza kwa nini footbridge ilijengwa pale kwanza kabla ya kukurupuka., nyie bado sana kilaza.., hivi vitu mnaviona tu in Dar.., pale kuna shule, na watu mbali mbali kama wazee hivi.., Kenya sio Tanzania yenye haina uwezo.
 
Hizi roads zao hakiyamama hata Kyela hakuna roads kama hizi.
Mwenzako ameshangaa vile Migori imechangamka ako na aibu, inabidi atafute pakutokea, mwambie akuonyeshe hiyo barabara aliyo itumia kutoka border hadi Migori ilivyo.., and goes beyond, past Kisumu to Turkana county, next to Kenya South Sudan border.., Kenya sio Tanzania mjukuu.., mwehu anajaribu kudhalisha tu, ila wapi, anatafuta vya ku post kujiliwaza., ameshangaa!
 
Back
Top Bottom