Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Afadhali huyo wetu alikuwa picha za potholes. Huyo wenu anazunguka na simu kupiga picha za magari zilizoegeshwa kwenye garages and call it poverty. Atafute picha za potholes kwenye barabara za lami Migori town akipata apost hapa tuone. That's a true representation of poverty, sio kupiga picha za magari kwenye garage. A poor person can't own a car
Nani alisema ngie hamuagizi magari kuukuu kama Watanzania kwakua nyie hela mnazo?Sasa unamchagulia Ichoboy silaha ya kuwajeruhi nayo?...
Mi sipendi vita ila mnapovianzisha hua kuna watu vita viko kwenye damu haya sasa amewafungua safari kabisa

Iyo line yako kua poor people hawezi afford gari sio kweli, unaweza kua na gari na bado ukasota vilivyo
 
Utajuaje umuhimu wake wakati huoni hapo ni junction? Think about seamless flow of traffic ndio utaelewa umuhimu wake

Junctution, hahaha umeona hizo connecting roads zilivyo terrible?
Why not make a simple round about and the remaining funds improve the surrounding environments ukizingatia hakuna hata magari huko,
Plus hiyo road yenye hiyo curvet terminates in 150m then kinakoendelea hakujawa paved.
 
Utajuaje umuhimu wake wakati huoni hapo ni junction? Think about seamless flow of traffic ndio utaelewa umuhimu wake
Nyie ni watu wa kupendezesha macho tuu lakini ndani ni uozo mtupu. At first I thought hiyo ki flyover kimejengwa over mud road inabidi utumie nguvu ya ziada kujua kwamba kuna lami substandard hapo.
 
Tanzania most beautiful country with iconic roads View attachment 2478438

Unyama sana
IMG_9750.jpg
 
Afadhali huyo wetu alikuwa picha za potholes. Huyo wenu anazunguka na simu kupiga picha za magari zilizoegeshwa kwenye garages and call it poverty. Atafute picha za potholes kwenye barabara za lami Migori town akipata apost hapa tuone. That's a true representation of poverty, sio kupiga picha za magari kwenye garage. A poor person can't own a car
Ikiwa ka Nairobi kapo hivi itakuwa Migori village
tapatalk_-1137187528_512x384.jpg
 
Kulikua sio haba ,Kipindi hicho safari buku jero.. unapapata Lorenzo Pub?kuna club pia jina limenitoka opo maeneo ya jangwani
Inaitwa Endruz Bar ila siku hizi ilishachuja Kunazo mpya..

Ukija 2025 utkuta tumetandika lami Kila mahala yaani kwa Sasa tunajenga kwenda Bondeni/Muze kutokea Ntendo na kutokea Matai kwenda Kasesya/Zambia Border
 
Kila siku huwa tunawaambia humu media zenu huwa zinawaongopea, mkawa mnabisha

wadau furahieni hii hapa 🤣 🤣

Tanzania will overtake Kenya in 3 years!!



Kenyans in their media are always talking about Tanzania. You can't find any media in Tanzania, where four or more people talking about Kenya.

I stopped listening to it when one among those fools said "google it". The whole of this silly talk derives from Facebook and Instagram economic data.
 
Sema ni mbali sana na Dar mkali...unasafiri hadi unatamani kususa...Uko ntakuja kulima mahindi Napataftia hela
Kwa Barabara ni mateso aisee,ni aidha uende mpanda au Songwe upande ndege au ukifulia panda bus kwa kuunga ila Moja kwa Moja ni majanga..

Hata Ukiwa n private car unaendesha Hadi kiuno kinaitika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom