The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Picha ya leo hii.Victoria pamekua pakijanja sanaView attachment 2478300
wadau furahieni hii hapa 🤣 🤣
Tanzania will overtake Kenya in 3 years!!
Ndio maana wapo wengi kama mchwa, over 56mil.Kenya ngono sana
Heheee, hii Dunia Ina wajinga sii kidogo.Hiyo barabara kwa sasa inapanuliwa all the way from Kisii town to Isebania border through Migori town. The fella travelled from Sirare to Migori using the same road, saw so many trucks and machines going about their business, but couldn't mention that or even post a picture of the same. Alingoja afike Migori town aende kupiga picha magari zilizoegeshwa kwenye garages and say how poor Kenyans are. The dude is so desperate!
Addis ndio wanajitafuta bado hawagusi hata DarNairobi ya Kunyaland ingekuwa kama Addis Ababa tusingekunywa maji humuView attachment 2478316View attachment 2478317View attachment 2478318
Nmekuba beer nyingi sana Hapo Sumbawanga miaka ileKunyaland watakwambia hizi ni highway.
Street roads in SumbawangaView attachment 2478335View attachment 2478336View attachment 2478337View attachment 2478338View attachment 2478339View attachment 2478340View attachment 2478341View attachment 2478342
Leo hiiPicha ya leo hii.
Miaka gani ulikuwa Sumbawanga?Nmekuba beer nyingi sana Hapo Sumbawanga miaka ile
Ni uzembe wa serikali kutoajiri wafanyakazi wa TRA kwa sababu maeneo mengi ya Vijiji na Miji midogo hayafikiwi .
Pia walipakodi wapo mil.4.4 kwa Mujibu wa TRA
2016Miaka gani ulikuwa Sumbawanga?
Sasa kwann tujenge na havina maana? Footbridges ni kwa sehem ya mkusanyiko mkubwa wa watu na magari mengi yanapita hapo kwa kasi.. huko kwenu watu wanaangalia kupiga hela tu za burebure kwa kujengaprojects
Afadhali huyo wetu alikuwa picha za potholes. Huyo wenu anazunguka na simu kupiga picha za magari zilizoegeshwa kwenye garages and call it poverty. Atafute picha za potholes kwenye barabara za lami Migori town akipata apost hapa tuone. That's a true representation of poverty, sio kupiga picha za magari kwenye garage. A poor person can't own a carKama sio wewe ni mkenya mwenzio alipofika dar picha pekee alizokua anapost ni sehemu mbaya,upanga yenye barabara nyingi za lami ye aliamua kupiga picha potholes na sehemu chache ambazo hazina lami.
Hizi desperation mlizianza wenyewe..
Sahivi mnamlaumu ichoboy bure
Mwaka huo Sumbawanga ilikuwa bado sana.2016
Utajuaje umuhimu wake wakati huoni hapo ni junction? Think about seamless flow of traffic ndio utaelewa umuhimu wakeWanataka tujenge viflyovers just for show off,
Hebu tuseme ukweli, kulikuwa na ulazima gani kujenga hii karvati hapa?
Yaani mradi tu waseme kisumu kuna flyover ?
Misplaced priorities plus miradi ya upigaji.
View attachment 2478392
Nani alisema ngie hamuagizi magari kuukuu kama Watanzania kwakua nyie hela mnazo?Sasa unamchagulia Ichoboy silaha ya kuwajeruhi nayo?...Afadhali huyo wetu alikuwa picha za potholes. Huyo wenu anazunguka na simu kupiga picha za magari zilizoegeshwa kwenye garages and call it poverty. Atafute picha za potholes kwenye barabara za lami Migori town akipata apost hapa tuone. That's a true representation of poverty, sio kupiga picha za magari kwenye garage. A poor person can't own a car




Utajuaje umuhimu wake wakati huoni hapo ni junction? Think about seamless flow of traffic ndio utaelewa umuhimu wake
Kuna route ya precision mza to NrbHivi kuna ndege kutoka Tanzania inaenda mji Mwingine wa kenya tofauti na nairobi? 🤔
Tanzania ina miji mitatu ambayo Kenya ni international destinations 🤣
Halafu wanaona tupo level 1 🙃
View attachment 2476561
Nyie ni watu wa kupendezesha macho tuu lakini ndani ni uozo mtupu. At first I thought hiyo ki flyover kimejengwa over mud road inabidi utumie nguvu ya ziada kujua kwamba kuna lami substandard hapo.Utajuaje umuhimu wake wakati huoni hapo ni junction? Think about seamless flow of traffic ndio utaelewa umuhimu wake