Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pesa inayotengwa kwa ajili ya kukarabati na kujenga barabara kwa kiwango cha lami ni kweli kwa mwaka mkoja haitoshi, izo 500km ni mfuko wa barabara tu,lakini kuna miradi ya mikopo kama ule wa barabara ya masasi mtwara kipande cha mvinata 160Km ambazo walichukua pesa Bank ya maendeleo africa,
Kuna miradi kama ya Tengeru moshi holili upanuzi wa barabara kua njia nne hela za mjapan,kuna miradi ya mwendokasi kutoka washirika,outer ring ya dodoma na miradi kadhaa ambayo haijatengewa fedha za ndani...

Ukijumlisha miradi inayoendelea kutekelezwa ni zaidi ya 1700Kms znajengwa kwa sasa kwa kiwango cha lami
Mwaka uliopita barabara za 880km zimejengwa TZ.
 
Yaani si ungechunguza kwa nini footbridge ilijengwa pale kwanza kabla ya kukurupuka., nyie bado sana kilaza.., hivi vitu mnaviona tu in Dar.., pale kuna shule, na watu mbali mbali kama wazee hivi.., Kenya sio Tanzania yenye haina uwezo.
Hata huko Dar uliyowatajia, jiji la watu milioni sita, footbridges hazifiki hata 20 the entire city. Thika road alone has more than ten kama sijakosea
 
Sasa migori ni kijiji na sio town tena inaitwa migori county 😆😆😆😆 Nicxie najua unaumia sana kuskia hio kauli
Anayeumia ni wewe unayezunguka kupiga picha za magari kwenye garages in a foreign country just to prove a point.
 
Anayeumia ni wewe unayezunguka kupiga picha za magari kwenye garages in a foreign country just to prove a point.
🤣🤣🤣 migori kuna garage manake naona gari nzima na mbovu zote ziko barabarani tu
 
Mwenzako ameshangaa vile Migori imechangamka ako na aibu, inabidi atafute pakutokea, mwambie akuonyeshe hiyo barabara aliyo itumia kutoka border hadi Migori ilivyo.., and goes beyond, past Kisumu to Turkana county, next to Kenya South Sudan border.., Kenya sio Tanzania mjukuu.., mwehu anajaribu kudhalisha tu, ila wapi, anatafuta vya ku post kujiliwaza., ameshangaa!
Hiyo barabara kwa sasa inapanuliwa all the way from Kisii town to Isebania border through Migori town. The fella travelled from Sirare to Migori using the same road, saw so many trucks and machines going about their business, but couldn't mention that or even post a picture of the same. Alingoja afike Migori town aende kupiga picha magari zilizoegeshwa kwenye garages and say how poor Kenyans are. The dude is so desperate!
 
Kigamboni Brigde

IMG_4499.jpg

Tanzanite Bridge .

IMG_4504.jpg
 
Hiyo barabara kwa sasa inapanuliwa all the way from Kisii town to Isebania border through Migori town. The fella travelled from Sirare to Migori using the same road, saw so many trucks and machines going about their business, but couldn't mention that or even post a picture of the same. Alingoja afike Migori town aende kupiga picha magari zilizoegeshwa kwenye garages and say how poor Kenyans are. The dude is so desperate!
Kama sio wewe ni mkenya mwenzio alipofika dar picha pekee alizokua anapost ni sehemu mbaya,upanga yenye barabara nyingi za lami ye aliamua kupiga picha potholes na sehemu chache ambazo hazina lami.
Hizi desperation mlizianza wenyewe..
Sahivi mnamlaumu ichoboy bure
 
Back
Top Bottom