Una struggle kutafuta negatives sana lakini wapi.., naweza nikakupa a random clip ya Tz towns uone model ya magari bila kujaribu kutafuta, yaani ni kwa mtazamo mmoja tu ππππ 5 to 8 years is still valid, sio zenu za 15 to 20 yearsππππππ
Ebu nenda main stage upige matatu za picha bila kuficha ukweli unavyo fanya, weka kila kitu wazi mbaya na nzuri, uone model gani utaona kwa wingi, na kama zinamafanana na hizi zenu za Mwanza za Vasco da Gama?ππππππππ umeona Kenya sio mwenzenu.., najua inakuuma, unajiliwaza sasa.,
Hizi ni kushoto kulia, sio Mwanza tu, Tanzania yoote.., πππππ
View attachment 2476337
View attachment 2476338
View attachment 2476339