Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Gari za 5yrs ago [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani probox ni nyingi sana alaf kazi za probox ni kubeba watu, mizigo pamoja na mbuzi au kondoo kwa pamoja
View attachment 2476238View attachment 2476240View attachment 2476241View attachment 2476242View attachment 2476243View attachment 2476244View attachment 2476245View attachment 2476246View attachment 2476255View attachment 2476256
Mji mzuri sana. Na imagine migori ni mojawapo wa conties maskini kenya
 
magari_mtaani_1624574544867286.jpg
magari_mtaani_1624574544867756.jpg
estate road in Dar so far..
 
Mbona naona picha nzuri tu. Nina uhakika miji ya kiwango hiki hapo bongo haina hii infrastructure ninayoona hapa na magari ni mabovu. Unajaribu sana kuchafua kilicho safi.
Pia mimi nimeona.., get clip ya Mwanza ama Arusha ya 2022, gari ni zile model za 15 to 20 years ago, infact ziko random, hautafiti, ziko kushoto, kulia, kaskazini na mashariki, ingewezekana pia na juu ungeziona 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Nyumba za mabati ni national symbol ya Kenya, wafanye waiongeze kwenye alama za taifa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pinnacle Towers has a court case ndio maana ujenzi ilikwama. Mzizima towers imekuwa na kesi gani ndio ujenzi uende mwendo wa Kobe? Mwaka wa tano leo Kama sijakosea! Hata 88Nairobi ujenzi ilianza just the other day and it's almost coming to an end wakati Mzizima towers wanaweka glasi moja kwa wiki and call it cladding!
Idadi ya majengo yanayojengwa Dodoma unaijua?
 
Back
Top Bottom